Android Smart Phones wameweza kuingia makubaliano na Simu za BlackBerry kupata Application ya BlackBerry Messenger, ili simu hizo za Android ziweze kutumia application hio ambayo zamani ilikua ni kwa ajili ya watumiaji wa BlackBerry tu. Sasa watumiaji wa Android waliokua na BBM na kuhamia Android hawataimiss tena Application hio kwa kuwa sasa wanauwezo wa kuipata Application hio kwa kuidownload Play store bure.