Pages

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro Imemnyima Dhamana Sheikh Ponda

Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa.