Anthonia Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya kulevya
baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) Dar es Salaam, akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa
ndege ya Ethiopian Airways. Msichana huyo aliingia hapa nchini Agosti 30
akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege,
Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa
uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu
wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye
atafikisha mahakamani.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi.
ANTHONIA OJO AKIWASILI KITUO CHA POLISI CHA JNIA BAADA KUKAMATWA.

ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA

PASPORT YAKE

HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO

AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO

SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO.

HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI

MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI.

RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011
Na Robert Okanda