Aina Tano za Vitambi kwa Mujibu wa Masanja Mkandamizaji wa Kundamiza Mwanawanee..!
Msanii na mtangazaji wa kipindi cha vichekesho "Orijino Komedi" Masanja Mkandamizaji, leo hii ameamua kuchekesha wana twitter kwa kutoa aina 5 za vitambi anavyovijua na kuvitolea maelezo ya jinsi vinavyokuwa kwa muonekano wake.