Video ya mahojiano na Balozi mpya wa Uingereza Tanzania,Dianna Melrose
Mh Balozi wa Tanzania Peter Kallaghe aliandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya kumpongeza na kumkaribisha Tanzania Balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania Dianna Melrose tarehe 31.1.2012