Pages

Sheikh Nassor Bachu Aiaga Dunia

Sheikh Nassor Bachu  
Sheikh Nassor Bachu ametutangulia mbele ya haki, Taarifa hii ni kwa mujibu wa wana familia, Sheikh Nassor amefariki huko Chukwani na taarifa za mazishi tutaendelea kujulishana baadae inshaallah. Inna lillahi wainna ilayhi rajiun. Mwenyeenzi Mungu ampokee mja huyu kwa salama na amlaze mahali pema na inshaallah kaburi lake liwe miongoni mwa mabustani ya peponi Yarabbi.