Pages

Kesi ya LULU nayo yazidi kusogezwa mbele!!





















  Mshitakiwa Elizabeth Michael (17), ' Lulu'  akielekea kupanda ngazi na kupandishwa 
Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya..

kutajwa Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda hivyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu.

 

No comments: