Pages

MASHINDANO YA MBIO ZA MAGARI KUANZA LEO -RALLY

MBIO ZA MAGARI Mashindano ya mbio za magari yameanza leo katika viwanja vya stesheni ya Reli Tazania jijini Dar es salaam jumla ya magari yaliyoshindana leo ni 17 uzinduzi huo ulifanya na mgeni rasmi Katibu mkuu wa Baraza la Michezo Henry Lihaya mashinmdano hayo yanayojulikana kama PUMA ENERGY RALLY OF TANZANIA 2013 MBIO HIZO KWA MUJIBU WA RATIBA NI YANANZA TAZARA , KILUVYA ,KITANGA.KAZINZUBWI , SUNGWI ,KISARAWE YATACHUKUA SIKU MBILI YAMEANZA LEO NA KUMALIZIKA KESHO

MBIO ZA MAGARI
MBIO ZA MAGARI
MBIO ZA MAGARI
MBIO ZA MAGARI
MBIO ZA MAGARI

KENRAZY ft. Hon. UHURU KENYATTA - VITAMBI VIDEO

WAZEE WANAOISHI NDANI YA KAMBI YA MATESO MOSHI

Joseph Musa,Inyasi Athanas,Joseph Mbole na Ramadhan Kalwinzi
Kutoka kushoto ni Joseph Musa,Inyasi Athanas,Joseph Mbole na Ramadhan Kalwinzi
Hawas ni wazee ambao ni sehemu ya maelfu wazee waliotapakaa kila kona nchini ambao hawana matunzo mazuri. Wazee hawa, wanalelewa kwenye kambi ya wazee wasiojiweza kwenye ya Njoro iliyopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Maisha ya wazee hawa ni zaidi ya kambi ya mateso.
Kwanza hawapatiwi huduma za afya inavyostahili, 
Pili wanakufa kutokana na lishe duni na (uzee wao).
Tatu wazee hao wanaishi mazingira ya kutisha kutokana na kambi yao kuvamiwa na vibaka mara kwa mara na kuporwa vitu vyao.
Nne, vyumba wanavyoishi hakuna hewa nzuri kutokana na kutokuwa na madirisha yenye kutoa hewa safi, 
Tano, vyoo wanavyotumia kujisaidia viko umbali mrefu kutoka nyumba wanamolala na vimejengwa enzi za utawala wa kikoloni ambapo (wengine tulikuwa bado hatujaiona dunia)
Sita, wazee hawa wakiugua hakuna gari la kuwakimbiza hospitalini na msimamizi wa kituo hicho, hulazimiki kuingia mfukoni mwake kuwanusuru na mauti wazee hao.
Saba, akina mama wanaowahudumia wazee hao, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya kuambukizwa kutokana na kufanya kazi katika mazingira magumu pasipo kuwa na vitendea kazi maalum.
Mwisho,sera ya wazee iliyotungwa na serikali ipo. Lakini inatia shaka katika utekelezaji wake.
Pamoja tutafakari na kuchukua hatua. Tusipowajali wazee, nasi yaweza kutukuta haya.

SAMSUNG GALAXY TAB 2 INAUZWA

Samsung Galaxy Tab
Samsung Galaxy Tab Samsung Galaxy Tab 2.7 Used lakini ipo kwenye hali nzuri
Model number - GT-P6200
16 GB
Android Version 3.2
Camera mbele na nyuma
Inauzwa kwa 580,000 tu.
Piga namba - 0765 073 073

KHADIJA MWANAMBOKA AWA BALOZI WA OXFAM TANZANIA KUPITIA KAMPENI YA KILIMO YA GROW-LIFE-WOMEN-PLANET

KHADIJA MWANAMBOKA
OXFAM
KHADIJA ALITEMBELEA MASHAMBA HUKO LUSHOTO VIJIJINI MWEZI MAY
OXFAM

Mwana FA na Lady Jaydee Waliahirisha Shoo Kwaajili ya Ngwear IIikua ni Unafiki tu!!

Jana usiku kuamkia leo wanamuziki Mwana FA na Lady Jaydee waliendelea na show zao kama kawaida na kujirusha kama hakuna kinachoendelea (majonzi). Kwani Ngwear anatofauti gani na Langa?
Na wewe uliekwenda kwenye shoo zao kuonyesha walichokifanya ni sawa unamatatizo ya akili MRUDIE MUNGU WAKO. hata wewe unaeweka picha na video za show yao katika blog/magazeti yako woote ni Mburulazz mkubwa wa wanafki usiejali ubinaadam na kujali pesa, pumbafu zenu!!
Je huu ni uungwana?

MWANA HIP HOP JOH MAKINI AMELAZWA HOSPITALI YA SINZA PALESTINA JIJINI DAR. SOMA TWEET ZAKE

Joh Makini
Moja ya rapper memba wa kikundi cha hip hop TZ, Joh Makini, yuko hospitali huku akiomba tumuombee na kusema yuko katika hali ya kawaida na si mbaya sana.

X Plastaz - KIOO (Video)

TID AMEAHIDI KUMKANDAMIZA VITASA OMMY DIMPOZ WATAPO KUTANA USO KWA USO

TID,OMMY DIMPOZ
Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.
"Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook"

Watch Bball Kitaa Show Episode 5