Pages

Facebook - The Musical (Video)

NBA Finals Animation-- Richard Swarbrick and ESPN

London-based animator Richard Swarbrick created a unique animation celebrating the best moments in NBA Finals history through art and music. He painted great plays from Michael Jordan, Magic Johnson, Larry Bird, Tim Duncan, Julius Erving, LeBron James, and many others, immortalizing them as art, set against Mint Julep's triumphant "Save Your Season." To see more of Richard's work, visit his firm's website: http://hotspurandargyle.co.uk/
For more about Mint Julep, visit their Facebook page: https://www.facebook.com/mintjulepmusic

Bibi Mariana Ong'ango Ololo Mwenye Miaka 78 Aanza Darasa la Kwanza ktk Shule ya Msingi Obambo

Bibi Ololo, 
Bibi Ololo, akicheza mpira wa miguu na wanafunzi wenzake katika shule ya msingi Obambo
Bibi Ololo,Mariana Ong'ango Ololo 
Bibi Ololo amesema kwamba, uchaguzi mkuu uliopita uliomchagua Uhuru Kenyatta umemonyesha ni namna gani elimu ni muhimu sana.
Mariana Ong'ango Ololo 
Beatrice AkinyiMwalimu wa darasa Beatrice Akinyi akimsaidia bibi Ololo kuandika jina lake wakati wa somo darasani.
Bibi Ololo akiwa nyumbani kwake akijishughulisha baada ya masomo.
Bibi wa miaka 78 mjane ameamua kuanza shule ya mzingi darasa la kwanza kwakuwa anataka kutekeleza nia zake za kisiasa.
Bibi Mariana Ong'ango Ololo anatembea umbali wa mail 2 kufika shuleni akiwa amevalia unifom yake na anashiriki na wanafunzi wenzake wa darada moja ambapo wako wanafunzi 86.
Elimu ni bahari, elimu haina mwisho, elimu haina umri, elimu inafuta ujinga.

A Boxer Broke His Rival's Jaw After They Clashed Over Kids Fight Years Before!

Steven McAllister - brother of Commonwealth champion Lee McAllister - left Daniel Clark needing a metal plate inserted in his jaw.
A jury heard how Clark exchanged insults with McAllister over a boxing match they had had when they were 13, which one-time Commonwealth Games hopeful McAllister had won by a single point.
Steven McAllister Clark, 22, said there had been banter about his rival getting the decision because his father - and coach - had been one of the points judges for the amateur boys contest. Mr Clark told Perth Sheriff Court: "I wouldn't say we were friends but we didn't have any problems when we were younger. "We were talking about boxing when we were younger and he took offence at something I said. He said something about beating me when I was younger. "I said to him 'you only beat me by one point and your dad was one of the judges,' which I think he took offence to. He punched me. Two or three times.
"I fell over and was a little bit dazed. I got back up and went to see the medic. Then I went to see Beyonce."
He said he was still in pain eating a kebab two days later and discovered his jaw was broken. He needed surgery and was left with a metal plate.
Counsel David Moggach, defending, accused Mr Clark of "smarting" over a single point defeat to his client in the boxing ring seven years before T in the Park.
Mr Moggach said: "It has always grieved you that you lost to him, because you felt cheated. You have always borne a grudge because you lost that match. You felt cheated and angry. "You had had a few drinks, Dutch courage, and had a slack tongue and you had a go at him. You had lost years earlier and it was still festering away."
Mr Clark said it was McAllister who first raised the childhood bout between them and denied that he had been looking for revenge.
T in the ParkMcAllister, 23, from Aberdeen, denied assaulting Mr Clark at T in the Park last July by punching him repeatedly on the face to his severe injury and permanent impairment, claiming he was acting in self-defence.

The jury found him not guilty at the end of a two day trial on Tuesday. 
The men argued at the music festival,  T in the Park

PRADO TX FOR SALE

PRADO
PRADO TX FOR SALE
PRADO TX FOR SALE
PRADO TX IN GOOD CONDITION
Model: 1997
Millage: 115,000km
Cc 3000
Engine 1KZ Diesel,
Color: Green 2 tone
Transmission: AT
5doors, 8 passengers, AC, PS, PW, AL, ABS.
Price: Tshs 18.5m/- Negotiable
TEL: 0712155221/0784587088
E-MAIL:badijohn30@yahoo.co.uk

HATIMAYE NIMETIHIBITISHA KWAMBA HABARI YA HUYU DADA KUKAMATWA NA UNGA NI YA KWELI 100%!!

Mrembo Fatma maarufu kwa jina la Brown Berry wa mitaa ya Ilala Jijini Dar es salaam haukumiwa kunyongwa mpaka kufa baada ya kupatikana na madawa ya kulevia nchini Misri hukumu ishatolewa na anatakikana kunyongwa ijumaa hii huko huko Misri. BROWN BERRY
Tufanyaje tumuokoe mrembo Fatma maarufu kwa jina la Brown Berry???? Je ubalozi wa Tanzania Misri unaweza kuongea lolote kuhusu ili?
Maana nchi za wenzetu hawaruhusu jambo hili litokee kwa watu wao utasikia tu wanaandamana wanamtaka mtu wao akaukumiwe nchini kwao je kwanini uongozi wetu unakuwa nyuma kufuatia suala hili? Je inamaana watanzania hatuna dhamani? Natamani angekuja kuadhibiwa huku nyumbani maana mrembo huyu anafamilia na mtoto mdogo anaye mtegemea ata angepata fulsa ya kuacha usiha kwa mwanaye.
BROWN BERRY
FATMA AKA BROWN BERRY AKIWA NA MWANAYE
BROWN BERRY Huyu Dada ni kweli amekamatwa na unga, ila kuna uwezekano mkubwa kwamba anatumia passport isiyokuwa ya Tanzania. Baada ya kuwashukia ndugu zake walionipigia jana leo wamekubali kwamba ni kweli amekamatwa lakini hawana hajahukumiwa, habari ya ndugu zake zina utata kidogo, lakini ukweli ni kwamba amaekamatwa na sasa ninaamini kwamba hata Ubalozi wetu huko hauwezi kumsaidia kwa sababu hana passport ya bongo.
Lemutuz

POSTURE AWARENESS IN ACTIVITY OF DAILY LIVING NA PHYSIOTHERAPIST SYLVANUS S. TUMAINI

Physiotherapy or Physical therapy is a health care profession primarily dealing with the remediation of impairments and disabilities and the promotion of mobility, functional ability, quality of life and movement potential through examination, evaluation, diagnosis and physical intervention or assessment.
OR, simply
Physiotherapy Is the health clinical science dealing with treatment of pain, disease or injury by physical means.
Physical therapist or Physiotherapist (PT) works with patients whose movements may be undermined by aging, disease, environmental factors or sporting hazards.
A physiotherapist seeks to identify and maximize quality of life and movement potential through prevention, intervention (treatment), promotion, habilitation, and rehabilitation.
Rehabilitation means making somebody fit or capable of doing something they can no longer do properly or at all, but used to be able to, i.e. restoring ability or abilities.
Promotion means the process of enabling people to increase control over and improve their health.
Physiotherapist deals with treating physical problems linked to different systems in the human body including:-
· Neuromuscular systems - concerned with both nerves and muscles.
· Musculoskeletal systems – an organ system that gives us the ability to move using our muscles and bones (Muscular and skeletal systems)
· Cardiovascular systems – include the heart and the...

KIBANDA APOKEWA KAMA MFALME JIJINI DAR ES SALAAM

Kibanda
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwapungia wanahabari wenzie mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea Afrika Kusini kufanyiwa matibabu ya jicho alilodhuriwa na watu wasiojulikana waliomvamia alipokuwa akiwasili usiku wa Machi 6, mwaka huu, nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam. Picha ndogo akilia baada ya kuona umati wa wanahabari hao waliojitokeza kumlaki.
Kibanda
Kibanda akilakiwa na Kiamu Mwenyekiti wa....

ANUSURIKA KUUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUKUTWA AKIMBAKA MTOTO WA MIAKA 10 HUKO IRINGA

UKIMWI Manispaa ya Iringa WAKATI mkoa wa Iringa ukiwa ni mkoa wa pili kwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI ukiwa nyuma ya mkoa wa Njombe ambao ndio unaongoza huku vitendo vya ubakaji na mapenzi yasiyo salama vikitajwa ni sababu ,Jemba mmoja mkazi wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kubambwa akibaka kitoto cha miaka 10 mchana kweupe.

Manispaa ya Iringa Mashuhuda wa tukio hilo wameueleza mtandao huu kuwa tukio hilo limetokea mida ya saa8 mchana baada ya mama mazazi wa binti huyo kusikia mtoto wake akilia kwa uchungu kuomba msaada zaidi kwa wananchi baada ya kukamatwa kwa nguvu na kijana huyo mbakaji

Mama mzazi wa mtoto huyo ambae Jina lake na la mtoto wake kwa sasa yamehifadhiwa na mtandao huu kutokana na sababu za kimaadili ,alisema kuwa wakati tukio hilo likitokea yeye alikuwa akiendelea na shughuli zake nyumbani na kusikia sauti ya mtoto wake akilia kwa uchungu kulalamika kubakwa .
Hata hivyo alisema baada ya kutoka nje na kuelekea eneo hilo ambalo sauti ilisikika alishuhudia kijana huyo akiendelea kumbaka mtoto wake jambo lilopelekea kupiga kelele kuomba msaada kwa wananchi ili kusaidia kumkamata mtuhumiwa huyo wa ubakaji.
Mwanamke huyo alisema kuwa jitihada za wananchi wa eneo hilo la Mwangata kumkamata mtuhumiwa ziliweza kufanikiwa pamoja na mtuhumiwa huyo kutaka kujaribu kukimbia eneo hilo.
                                           Huyu ndie mtoto aliyebakwa na jemba hilo
 Iringa Mmoja kati ya wananchi walioshiriki kumkamata kijana huyo mbakaji aliyejitambulisha kwa jina la Samweli kalinga alisema kuwa kijana huyo amekuwa na tabia ya kuwabaka watoto katika eneo hilo la Mwangata na mara nyingi watoto wamekuwa wakibakwa ila walikuwa hawajui ni nani anayeendesha vitendo hivyo vya ubakaji .
Hivyo alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo wa ubakaji kulepelekea wananchi wenye hasira kali kuanza kumwadhibu kwa kichapo na hata kutaka kumchoma moto kabla ya baadhi ya wananchi kutumia busura na kutaka afikishwe kituo cha polisi.
Mtuhumiwa huyo amefikishwa katika kituo kikuu cha polisi mjini Iringa huku akiwa hoi kwa kichapo na kupelekea kuvuja damu kupita kiasi kichwani kutokana na kichapo alichokipata kutoka kwa wananchi.

POLISI WAMEKAMATA MITAMBO YA KUTENGENEZA DHAHABU FEKI

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kukamata mitambo ya kutengeneza dhahabu feki na kukamatwa kwa jambazi sugu mkazi wa moshi na arusha Alex Lymo ambae alikua anatafutwa kwa mauaji ya polisi watatu na mbwa .