Pages

ANUSURIKA KUUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUKUTWA AKIMBAKA MTOTO WA MIAKA 10 HUKO IRINGA

UKIMWI Manispaa ya Iringa WAKATI mkoa wa Iringa ukiwa ni mkoa wa pili kwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI ukiwa nyuma ya mkoa wa Njombe ambao ndio unaongoza huku vitendo vya ubakaji na mapenzi yasiyo salama vikitajwa ni sababu ,Jemba mmoja mkazi wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kubambwa akibaka kitoto cha miaka 10 mchana kweupe.

Manispaa ya Iringa Mashuhuda wa tukio hilo wameueleza mtandao huu kuwa tukio hilo limetokea mida ya saa8 mchana baada ya mama mazazi wa binti huyo kusikia mtoto wake akilia kwa uchungu kuomba msaada zaidi kwa wananchi baada ya kukamatwa kwa nguvu na kijana huyo mbakaji

Mama mzazi wa mtoto huyo ambae Jina lake na la mtoto wake kwa sasa yamehifadhiwa na mtandao huu kutokana na sababu za kimaadili ,alisema kuwa wakati tukio hilo likitokea yeye alikuwa akiendelea na shughuli zake nyumbani na kusikia sauti ya mtoto wake akilia kwa uchungu kulalamika kubakwa .
Hata hivyo alisema baada ya kutoka nje na kuelekea eneo hilo ambalo sauti ilisikika alishuhudia kijana huyo akiendelea kumbaka mtoto wake jambo lilopelekea kupiga kelele kuomba msaada kwa wananchi ili kusaidia kumkamata mtuhumiwa huyo wa ubakaji.
Mwanamke huyo alisema kuwa jitihada za wananchi wa eneo hilo la Mwangata kumkamata mtuhumiwa ziliweza kufanikiwa pamoja na mtuhumiwa huyo kutaka kujaribu kukimbia eneo hilo.
                                           Huyu ndie mtoto aliyebakwa na jemba hilo
 Iringa Mmoja kati ya wananchi walioshiriki kumkamata kijana huyo mbakaji aliyejitambulisha kwa jina la Samweli kalinga alisema kuwa kijana huyo amekuwa na tabia ya kuwabaka watoto katika eneo hilo la Mwangata na mara nyingi watoto wamekuwa wakibakwa ila walikuwa hawajui ni nani anayeendesha vitendo hivyo vya ubakaji .
Hivyo alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo wa ubakaji kulepelekea wananchi wenye hasira kali kuanza kumwadhibu kwa kichapo na hata kutaka kumchoma moto kabla ya baadhi ya wananchi kutumia busura na kutaka afikishwe kituo cha polisi.
Mtuhumiwa huyo amefikishwa katika kituo kikuu cha polisi mjini Iringa huku akiwa hoi kwa kichapo na kupelekea kuvuja damu kupita kiasi kichwani kutokana na kichapo alichokipata kutoka kwa wananchi.

POLISI WAMEKAMATA MITAMBO YA KUTENGENEZA DHAHABU FEKI

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kukamata mitambo ya kutengeneza dhahabu feki na kukamatwa kwa jambazi sugu mkazi wa moshi na arusha Alex Lymo ambae alikua anatafutwa kwa mauaji ya polisi watatu na mbwa .

DIAMOND AYAKACHA MAPOKEZI YA NGWAIR NA KWENDA KULA BATA!?!

Diamond
Washabiki wamemponda Diamond kwa kuposti picha zake akiwa baharini akila bata na rafiki zake badala ya kuwa Airport kuupokea mwili wa Ngwair.
Soma baadhi za comments hapo chini
mwili wa Ngwair

  • Salum Mzuka · Institute of finance management(IFM)
    ulimbukeni tu diamond acha ushamba bwege wewe.

  • Ordinary Michael ·  Top Commenter · Manager at Self Employed (Business)
    Huyo ni msenge! halafu hana akili,, nadhani nae anakribia kufa ndo maana,, anachanganyikiwa,, maana mtu akikaribia kufa lazima aache kituko,, kidogo pambafu zake na viela vyake vya upatu hivyo.

    • Aron Dominic · Arusha, Tanzania
      Dah we noma bro makavu live hata hukopeshi

    • Riziki Chelsea Ktbffh · Works at None
      noma

    • Ally Likwambi · VETA
      Tatizo waandishi wetu uchwala badala ya kumnyoosha wao wanampamba mi naona waandishi wa habari ndio wapumbavu wa kwanza then huyo mshamba wao domo

  • Ally Wa Leo · University of Dodoma
    kwani akija yeye ndo NGWEA atafufuka? Kula BATA hadi kuku waone wivu!

    • Idrisa Mrindoko · Dar es Salaam, Tanzania
      au ye ndo atamuombea marehemu?!

  • Albert Simon Lufungulo · Works at Government Employee
    kumbe ngwea alikua anakuumiza kichwa? wenzio wapo kwenye maandalizi ya kumpokea mwili wa msanii mwenzao, wewe unauza sura! dah, hii kali

  • Pascal Gilla · Arusha, Tanzania
    Kibinadamu hakufanya vizuri.Japo aonekane kusikitika kwa kifo cha mwanamuziki mwenzake.

  • Marie Jo Benda · Boniconsilii mabamba galz sec · 510 subscribers
    kila mwanadamu pua yake inaangalia chini....sio poa.

PICHA na VIDEO ZA ALBERT NGWEA ALIVYOPOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA, MWILI WAKE UMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

ALBERT MANGWEA 
Mwili ukipelekwa muhimbili....
Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.
ALBERT MANGWEA
ALBERT MANGWEA
Baadhi ya wasanii waliojitokeza kwenye kupokea mwili wa albert Mangwair.
Video ALBERT MANGWEABofya read more kuona picha zaidi >>

TIGO SUPPORT FOR BLOOD DONATION DRIVES TO BE HELD IN MARA REGION ON WORLD BLOOD DONOR DAY CEREBRATION

Tigo support for blood donation Dr Efesper A. Nkya, NBTS Program Manager and Tigo Woinde Shisael scr officer .
Dar es Salaam Tanzania, 4th June 2013:
Tigo Tanzania today once again pledges its support towards a blood donation drive to be held in Mara region on this year's World Blood Donors Day the 14th of June 2013. These blood drives are scheduled to be conducted in other regions across the entire country and the National event will be held in Mara region.
"The National Blood Transfusion Service is once again pleased to partner with Tigo in our efforts to create public awareness on the importance of voluntary blood donation and address adequacy and safety issues that go with it. These drives will play a significant role to counter the increased blood shortage problem that faces many hospitals across the country therefore help prevent unnecessary deaths, particularly among women and children who are the major recipients of blood... I would like to take this opportunity to extend our sincere gratitude towards Tigo for their firm support towards this initiative, which is at..

Make The Homeless Smile! ONE OF THE BEST VIDEO OUT THERE

Pizza Delivery Man Caught on CCTV Eating Customer’s Toppings

Footage shows the employee from 2 Coasts takeaway in Russia snacking on the job as he makes a delivery in St Petersburg. He was filmed getting into a lift and opening up a pizza box before helping himself to a few of the toppings and then placing it back in the bag.
The video has racked up more than 30,000 hits on YouTube and attracted the attention of the shop’s customer relations manager Katerina Nechayeva.

CREW YA MKASI NA SALAMA JABIR WAINGIA LOCATION TAYARI KWA 'MKASI SEASON 2'

Salama Jabir na crew
Baada ya kupumzika kwa takriban miezi mitatu, Salama Jabir na crew nzima ya kipindi cha Mkasi, wameingia location kuanza kutayarisha vipindi vipya vya msimu wa pili. Tazama baadhi ya picha za location.
Vanessa Mdee na Muba
Host wa show, Salama Jabir akipigwa make-up huku akiwaza atakavyokupa raha msimu ujao

Vanessa Mdee na Muba
Vanessa Mdee na Muba
Crew ya Mkasi ikiongozwa na Josh Murunga (katikati)
AY akiwa na partner wake kibiashara, Salama

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI BESTA (ENGLISH MEDIUM) WAONDOLEWA SHULENI BAADA YA SHULE KUUZWA KWA AMRI YA MAHAKAMA MBEYA

Shule ya Msingi ya Besta Sae Mbeya
Hii ndiyo Shule ya Msingi ya Besta Sae Mbeya.
Shule ya Msingi ya Besta Sae Mbeya
Vibarua waliopewa jukumu la kuhamisha mizigo shuleni hapo
Shule ya Msingi ya Besta Sae Mbeya
Viti vikiwa vimetolewa eneo la shule ya Msingi Besta
ENGLISH MEDIUM
Gari la mizigo likichukua mizigo kuelekea...

SHIT HAPPENS! The Jacuzzi Scandal