Mkulima wa Kijiji cha Mgagara Ameuwawa na Kuchomwa Moto.
Kundi la wananchi wenye hasira katika kijiji cha Magara wilayani Babati
mkoani Manyara wamemuua kwa kumkatakata mkulima wa kijiji Hicho kwa vitu
vyenye ncha kali na kisha kumchoma kwa moto baada ya kumtuhumu awali
kuhusika katika tukio la kumuua mkulima Mwenzake kutokana na mgogoro wa
ardhi.
PICHA ZA MTOTO WA MIAKA 14 ALIESAFIRI KWENYE CHESIS YA BASI KUTOKA DAR HADI DODOMA!!
MTOTO JOSEPH AKIZONGWA NA BAADHI YA WAPIGA DEBE WA STENDI KUU YA DODOMA HUKU WENGINE WAKIMSIFIA KWA UJASIRI WAKE WA KUSAFIRI CHINI YA UVUNGU WA BASI HILO KWA UMBALI MREFU
KWA MUJIBU WA MAELEZO YA DOGO HUYU NI KWAMBA ALIISHI JIJINI DAR AKIWA NA WENZIE WAWILI AMBAO WALIKUWA WAKIFANYA KAZI YA KUOKOTA MAKOPO NA KUUZA NA KISHA KULALA KATIKA STENDI KUU YA MABASI YA UBUNGO LAKINI BAADA YA KUONA HALI YA MAISHA NI NGUMU ALIAMUA KUONDOKA NA KURUDI NYUMBANI KWA KUTUMIA NJIA HIYO AMBAYO NDIYO WALIYOITUMIA WAKATI WAKIENDA JIJINI DAR ES SALAAM
NI KAMA ANAAMBIWA HIVI:,'' WEWE NI KAMANDA HAKUNA MWENYE UWEO KAMA WAKO KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA BASI''
Picha zadi Rziki Mgaya
Kisa Cha Mchimba Madini (A Miner's Tale Swahili)
Joakim ni mfanyakazi mhamiaji ambaye anahangaika kutimiza wajibu wake kwa mke wake mkubwa aliyeko Msumbiji na pia kwa mkewe mdogo anayeishi naye Afrika Kusini. Wazee wanasisitiza kuwa Joakim lazima atimize wajibu wake wa kiutamaduni na kuwapatia wake zake watoto zaidi. Je, Joakim atafanyaje?
Kumbukumbu ya Miaka 23 ya Ajali ya Ndege ya Chipolopolo
Ilikuwa tarehe kama ya jana miaka 23 iliyopita wakati ndege iliyokuwa
imebeba wachezaji 18 wa kikosi cha timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo ,
watu wa nne wa benchi la ufundi akiwepo kocha mkuu wa timu hiyo Godfrey
Ucar Chitalu na wasaidizi wake watatu , na viongozi watatu wa chama cha
soka cha Zambia ilipopata ajali mbaya kwenyenpwani ya Gabon na kuua
watu wote 30 waliokuwemo .
Ndege hiyo aina ya DHC-5D Buffalo
ikiwa na namba za usajili (AF-319) ilianguka na kuzama kwenye bahari ya
Atlantic karibu kabisa na pwani ya mji mkuu wa Gabon Libreville baada ya
matatizo ya kiufundi . Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na jeshi la
Gabon ndege hiyo ilipata hitilafu iliyosababisha moto kwenye moja ya
Injini zake hali iliyomlazimu rubani Kanali Fenton Mhone kuizima injini
hiyo , hata hivyo Rubani alikosea na kuzima injini nyingine iliyokuwa
nzima hali iliyofanya ndege hiyo kushindwa kwenda vizuri na hatimaye
kuanguka baharini .
Zambia ilikuwa njiani kuelekea Senegal ilikokuwa inaenda kucheza na timu ya taifa hilo katika michezo ya hatua za mwisho ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 1994 huko Marekani .
Moja ya watu waliosalimika kwenye ajali hiyo alikuwa nyota wa enzi hizo wa timu ya..
Zambia ilikuwa njiani kuelekea Senegal ilikokuwa inaenda kucheza na timu ya taifa hilo katika michezo ya hatua za mwisho ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 1994 huko Marekani .
Moja ya watu waliosalimika kwenye ajali hiyo alikuwa nyota wa enzi hizo wa timu ya..
17 People Dead after a Battle Broke out Between Prisoners at a Jail in the Central Mexican State of San Luis Potosi
Worried relatives have gathered at the jail to wait for news of their loved ones
A group of inmates used homemade knives and picks to attack rivals at the La Pila prison, the state attorney general’s office was quoted as saying.
Authorities took several hours to bring the fighting under control.
Deadly outbreaks of violence are common in Mexico’s overcrowded jails, which house inmates from rival drug gangs.
Dozens of people were injured – some seriously – in the fighting that broke out at La Pila, situated in the state capital, early on Saturday morning, officials said.
The authorities in the northern state of San Luis Potosi have begun to name the dead and warned concerned families waiting for news that the number of fatalities may rise.
Violence began when a group of prisoners took action after being harassed by other inmates, news agency AP quoted the state attorney general’s office as saying.
Rivalries between criminal gangs frequently spills over into Mexico’s antiquated and dangerous prisons, correspondents say. Studies say some prisons are effectively run by gangs.
Human rights groups say the penal system suffers from chronic overcrowding and is in urgent need of an overhaul.
Despite assertions that the prison system would be reformed after the last major incident, in which 44 inmates were killed, there have been no tangible improvements, neither during the final year of the previous administration nor in the first six months of President Enrique Pena Nieto’s government, says the BBC’s Will Grant in Mexico City.
Two Police Officers Injured After Gunshots Fired in Front of Italian Prime Minister's Office in Rome

Gunshots: The new government of Enrico Letta (pictured) was being sworn in at the president's palace
Gunshots have been fired in front of the Italian prime minister's office in Rome as the new government of Enrico Letta was being sworn in at the president's palace less than a mile away.
RAI state television reported there were injuries and quoted a witness who said that she had heard at least eight shots fired. Witness said two Italian police officers were injured, and police revealed one man had been arrested.
Subscribe to:
Posts (Atom)