Pages

Wafanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar Wameendelea Kufunga Maduka

Wafanyabiashara wa Kariakoo wameendelea na msimamo wao wa kutofungua maduka kwa siku ya pili wakitaka serikali kutoa tamko kuhusu matumizi ya mashine za risiti na kodi - EFD.

No comments: