Siku chache baada ya rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutoa msimamo wa Tanzania kutokujitoa katika jumuiya ya Afrika mashariki waziri wa mambo ya nje wa Kenya amempongeza rais Jakaya Kikwete na kusema kuwa hatua hiyo itaimarisha zaidi uhusiano wa juimuiya hiyo.
No comments:
Post a Comment