Pages

Mahakama ya Rufaa Imetupilia Mbali Ombi la Kupitia Upya Hukumu ya Babu Seya na Mwanaye

Mahakama ya rufaa imetupilia mbali ombi la kupitia upya hukumu ya mwanamuziki maarufu nchini mwenye asili ya jamhuri ya kidemokarasia ya Congo DRC Nguza Viking maarufu kama Babu seya na mwanawe Johnson Nguza Papii Kocha na kusema imeona hakuna sababu za msingi za kupitia hukumu hiyo upya.

No comments: