Tangazo la Eid Al-Adha.
Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington DC Inawatagazia waTanzania wote sherehe za Eid al-adha itakayofanyika siku ya Jumanne Oct 15, Anuani | Veirs Maill Local Park 4425 Garrett Park, Wheaton MD 20906 kuazia Saa 3:PM mchana hadi 9:PM waTanzania wote mnakarebishwa. Asanteni

