Wapelelezi na maafisa wa KRA Mjini Mombasa wamekamata shehena inayosemekana kuwa na vikaragosi vya kutisha katika Bandari ya Mombasa. Vikaragosi hivyo vya mafuvu na mifupa ya binadamu vinasemekana kutumiwa katika ibada za kishetani humu nchini. Pheona Kengah ana tupasha taarifa hiyo kwa kina.