Ni mara chache kujua wasanii wana msimamo gani linapokuja suala la muziki na siasa. Wakiwa Kigoma katika Kili Music Tour, wakali wa Hip Hop Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness walipata nafasi ya kujadili wanavyoichukulia siasa na muziki wa Hip Hop hasa tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa.
No comments:
Post a Comment