
Habari njema kwa WAJASIRIA HIPHOP wote wa DSM: Mpaka sasa nishapata mc'z watatu kati ya ngoma ishirini na mbili nilizotumiwa.. yupo RASCO, DEMETRIUS PONERA na Q- RAMO.. ninahitaji 'watatu' wengine ili nifikishe sita.. na pia nimesikia kuna wasanii wengi wako fiti lakini hawajui kutumia intaneti huko mitaani kwenu.. please nawaomba muwasaidie ili ngoma zao zinifikie humu.. ----> cheusidawatv@gmail.com #PEACE .
hayo ndio maneno ya mtumzima Fid Q kupitia page yake ya FB.
hayo ndio maneno ya mtumzima Fid Q kupitia page yake ya FB.
No comments:
Post a Comment