Pages

Mabadiliko ya Mihula ya Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu,Ratiba ya Mitihani kidato cha sita 2013

NECTA
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwatangazia watahiniwa wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa, mtihani huo utafanyika mwezi Februari.
Mabadiliko ya mihula yaliyofanywa na Wizara ya ... Elimu na Mafunzo ya Ufundi yataanza kutumika na Watahiniwa wa Kidato cha Nne mwaka 2013, ambao watafanya mtihani wao mwezi Novemba na Watahiniwa wa Kidato cha Sita mwaka 2014 ambao watafanya mtihani wao mwezi Mei.

Wizara ya Elimu

No comments: