
Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa wako katika mipango ya kumpeleka nchini India kwa ajili ya matibabu.
No comments:
Post a Comment