Pages

Je Ulikua Unajua Kama ni Watanzania 3 tu Wamebakia kati ya 7 Waishio Mexico?


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kutokomea kusikojulikana na wenzao hao.
 
 Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo.( Picha na OMR).

No comments: