Pages

Watu Watatu Wafariki Dunia Baada ya Kuangukiwa na Ukuta

Watu watatu wamekufa baada ya kuangukiwa na ukuta mkubwa wa zege uliojengwa juu ya geti na kusababisha kuminywa ndani ya gari Walilokuwa wamepanda hadi miili yao ilipokuja kuondolewa na wasamaria wema kufuatia chombo maalum cha kubeba vitu vizito Kunyanyua ukuta huo na kuwakuta wamepoteza maisha.

No comments: