Crane ikivunjika kutokana na upepo mkali kwenye jengo lililokua linajengwa Mtaa wa West 57th Manhattan, New York. Mpaka sasa hizi ni watu 16, wameipoteza maisha wengi wao kuangukiwa na miti kutokana na Hurricane Sandy na watu milioni 7 hawana umeme
Jiji la Manhattan likiwa limegubikwa na wingu zito la Hurricane Sandy na huku likiwa kwenye kiza kinene
Holland Tunnel New York City, New York ikiwa imefungwa, Holland Tunnel ni daraja linalopita chini ya maji ya mto Hudson unaotenganisha New York na New Jersey
Maji ya bahari yakifurika mitaani katika mji wa Atlantic City, New Jersey
Mitaa ya Atlantic City ikiwa..
imefurika maji
Mitaa ya Atlantic City ikianza kujaa maji ya Hurricane Sandy
Mitaa ya Atlantic City ikianza kuathirika na mafuriko
Jerry Smith akiangalia mbwa wake wakichezea maji yaliyoanza kujaa kwenye mtaa wa South Long Beach ulopo Freeport, New York
Mitaa iliyopo Freeport, New York
Wakaazi wa mji huu wa Freeport, New York wakijaribu kuondoka baada ya kuona maji yanazidi kujaa
Kwa picha zaidi bofya read more
Mitaa ya Queens, New York
Mitaa ya New Jersey
Hapa ni winthrop, Massachusetts
Atlantic city New Jersey
Atlantic City
Jamaa wanatembea kwa miguu baada ya gari yao kuzimika kwenye mji waLindenhurst, New York
Nyumba ikiwa imeningirwa na maji kwenye mji wa Copaique, New York
Mitaa ya Copaique, New York
Afisa wa Polisi wa Long Beach akipata ukodaka moment
Miti ikiwa imeanza kuanguka kama unavyoona kwenye huu mji wa Lindenhurst, New York
Hii kitu ni nzito lakini angalia ilivyonyanyuliwa na upepo na kutupwa kwenye nyaya za umeme hapa ni Long Island
JFK ikiwaimefurika maji
Maji yakiwa yamefurika kwenye njia za kurukia ndege LaGuardia airport, New York
No comments:
Post a Comment