Diamond na vijana wake wakivua nguo jukwaani wakati wa
shoo ya Fiesta 2012.
Na Waandishi Wetu
INAWEZEKANA kwamba Tamasha la Fiesta 2012, lilikumbwa na matukio mengi ya aibu lakini lile la mwanamuziki Nasibu Abdu Juma ‘Diamond’, kuvua nguo na kumwaga mbele ya maelfu ya Watanzania, likawa la funga kazi kuliko yote. ‘boxer’ (chupi).
Mwanamuziki huyo, hakufanya hivyo peke yake, kwani aliposaula na wacheza shoo wake walimfanya vivyo hivyo, nao wakabakiwa na vi-boxer vyao vya mchina visivyokua hata na jina.
GPL
No comments:
Post a Comment