Hii ndiyo nyumba ambayo jana ilifunguliwa rasmi kwa wageni waalikwa walikuja kushudia jinsi washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanavyoishi na kupata malezi bora kabisa katika nyumba hiyo.
Madam Ritha ambaye ni judge wa Epiq bongo star search akikaribisha ndani wageni waje kushuhudia jinsi washiriki hawa wanavyoishi katika nyumba hiyo bila kupatwa na
shida yoyote.
Madam Ritha akitoa maelezo kwa makini kabisa baada ya kuzinduzi mjengo huo
Sasa yale mambo ya msosi nini ndo dzain hapa ndipo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanapikiwa hapa.
Hapa ndipo washiriki wa Epiq Bongo Star Search wanapolala
Madam Ritha akitoa risala fupi kwa wageni waalikwa baada ya ufunguzi wa nyumba ya Epiq Bongo Star Search
Hawa ndiyo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search hapo wakiwa katika pozi la swagg .
Washiriki wa Epiq Bongo Star Search wakiwa na ageni kutoka Zantel baada ya kupewa zawadi ya simu pamoja na line ya zantel.
No comments:
Post a Comment