Pages

Daraja la Kigamboni Sio Hadithi

Daraja la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya hindi eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam.Daraja hilo litakapomalizika litakuwa na njia 6 na kwa mujibu wa kampuni inayofanya ujenzi huo imesema daraja ili litakuwa kubwa na la kipekee ukanda wa AFRIKA YA MASHARIKI.
DANGER!!!
Swali la kizushi: Je kama huyu anayeitwa msomi  (sina uhakika) ameweza kukaa juu ya alama ya hatari na wala hana  hata habari, daraja litakua salama na imara kweli?

No comments: