DIASPORA WORLD CUP KUANZA JUMAPILI APRIL 29, 2012 DMV KUKIPIGA NA GHANA
Kesi ya LULU nayo yazidi kusogezwa mbele!!
Mshitakiwa Elizabeth Michael (17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa
Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya..
IT'S SO SAD!! MGAO WA MALI ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA WALETA MGOGORO KWENYE FAMILIA
(Mama wa marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mutegoa.)
Habari na Gazeti la Mwananchi:
Wiki mbili baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, wazazi wake; Charles Musekwa Kanumba na Mama yake, Flora Mutegoa ambao hawaishi pamoja, wametofautiana kuhusu suala la mali na mirathi.

Juzi, Mzee Kanumba aliibuka na kudai kuwa
kuna kundi la watu linalomdanganya mama huyo wa marehemu kwamba linajua
zilipo mali za Steven jambo ambalo alisema ni uongo na kumtaka awe na
subira na asidanganyike.
Hata hivyo, kauli hiyo imepingwa na
Mutegoa ambaye amehoji sababu za mumewe huyo..
Subscribe to:
Posts (Atom)