Pages

Wenyeji Tana River Wauziwa Nyama ya Fisi

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Tana River, baada ya baadhi ya wenyeji kugundua kuwa kwa muda wa juma moja, wamekuwa wakila nyama ya fisi waliyouziwa bila kujua. Hii ni baada ya mizoga ya fisi, ikiwemo vichwa na sehemu nyingine kupatikana zimetupwa, huku nyama nyingine ikiaminika kuuziwa wafanyibiashara wa nyama.

PICHA za MCHEZO ULIVYOKUA KATI YA TAIFA STARS vs UGANDA THE CRANES

CHAN
Wachezaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Uganda Cranes wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mechi yao ya kufuzu kucheza Chan iliyofanyika kwenye uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala.
CHAN
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes'
Taifa Stars' na Uganda Cranes
Mchezaji wa Taifa Stars Aggrey Morris (katikati) akiwania mpira huku akizongwa na mabeki wa Uganda Cranes.Taifa Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Taifa Stars' na Uganda Cranes
Amri Kiemba akipongezwa na Mrisho Ngasa/ Aboubakar Salum 'Sure Boy' baada ya kushinda bao la kusawazisha dhidi ya Uganda Cranes
Taifa Stars' na Uganda Cranes

Washabiki wa Taifa Stars wakishangilia goli la kusawazisha..  Bofya Read more kwa picha zaidi..

Kenya Pharmacist Association Blames Government Over Quack Pharmacist

The Kenya Pharmaceutical Association has accused the government of allowing quacks to operate freely putting the lives of many Kenyans in danger. The association alleged that despite the body having only 5000 members there were thousands of fake people operating chemist shops in the country.

Watch Eyeballs Got Talent

Rais JK Atangaza Operesheni Kali ya Kuwasaka Majambazi.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Rais Jakaya Kikwete ametangaza operesheni kali ya kuwasaka majambazi wanaojihusisha na uhalifu ikiwemo utekaji wa magari na wahamiaji haramu itayoanza wiki mbili zijazo na ameagiza wahusika kuanza kujisalimisha wao na silaha wanazomiliki kinyume na utaratibu.

ANGALIA VIDEO ya MADAWA ya KULEVYA YAMEMPASUKIA TUMBONI HUYU KAKA wa KITANZANIA..!

MADAWA YA KULEVYA Wenzangu, ndugu zangu Watanzania, tujitahidi tutafanikiwa kwa njia iliyo halali, kweli wangapi tuko tayari kupoteza maisha kama hivi? kwa ajili ya tamaa ya kutaka utajiri wa harakaharaka, sina maana kuwa wote wanatamaa za haraka, ni shida ya maisha inawapelekea kufanya haya. Tusiwe wepesi wa kushawishiwa, hata karanga uza! jamani yote ni maisha iko siku utafanikiwa...Binafsi nalaani, na naomba mungu awasaidie wote waliopatwa na haya majaribu, wabadilike....
(TAFADHALI KAMA HUWEZI KUSTAHAMILI USIINGALIE VIDEO HII
Bofya Link Upate kushuhudia ujifunze >>  http://youtube/madawa ya kulevya
Crdtz: Sophie Mbeyu

Mpaka Sasa NI Mapumziko. UGANDA 1 - 1 TANZANIA

UGANDA vs TANZANIA (TAIFA STARS)
Wafungaji wa mabao ni Kalanda Frank upande wa Uganda na Amri Kiemba upande wa Tanzania.

Tigo Ibuka na Bajaji Kila Siku, Wahi Ya Kwako Sasa!!

Tigo pesa, Tigo Rusha 
 Promosheni ya MILIKI BIASHARA YAKO inakupata nafasi ya kujishindia bajaji kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuongeza salio kwa Tigo pesa, Tigo Rusha au vocha kuanzia Tsh.1,000.

WABONGO WENGINE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG CHINA

drug trafficking cases

Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya ilivyokuwa hapo awali kutokana na matukio ya kukamatwa na dawa za kulevya! Hii ni sifa mbaya mno kwa raia na Taifa zima!
Iliyopachikwa hapo chini ni taarifa kutoka kwenye tovuti ya Serikali ya Hong Kong ya Julai 26, 2013
drug trafficking cases
Hong Kong Customs yesterday (July 25) detected three drug trafficking cases, with seizures totally valued at $4.78 million, in the department's escalated anti-narcotics efforts to combat drugs.
Customs officers at the Hong Kong International Airport (HKIA) intercepted a 26-year-old incoming male passenger arriving from Tanzania for clearance yesterday afternoon and seized 1.6 kilogrammes of heroin concealed in two false compartments of his hand carry briefcase. The drugs would fetch a value of about $1.28 million.

Later in the evening, Customs officers at the HKIA intercepted another 45-year-old man from Tanzania for clearance. On suspicion of concealment of drugs inside his body, the suspect was escorted to hospital where he discharged 204 grammes of heroin after staying for one day. The value of the drugs was about $0.16 million. The suspect is still in the hospital.

In the same evening, Customs officers intercepted a 28-year-old man at a carpark in Tai Kok Tsui. Approximately 2.03 kg of cocaine camouflaged as snacks were found inside a plastic bag carried by him. Customs officers later escorted the suspect to a domestic flat nearby for a search and seized 1 kg of cocaine and 290 grammes of crack cocaine there. The total value of the seizure was about $3.34 million.
A Customs spokesperson said today (July 26) that all three suspects in the three cases were arrested for drug trafficking. The cases are still under investigation.

Under the Dangerous Drugs Ordinance, drug trafficking is a serious offence. The maximum penalty is life imprisonment and a fine of $5 million.
Ends/Friday, July 26, 2013
Issued at HKT 23:43
NNNN
ISEMAVYO SHERIA YA HONG KONG UKIKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA
drug trafficking cases

BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA DAR LIVE IDDI MOSI

 FRANCIS MIYEYUSHO 
Bondia Francis Miyeyusho (kulia) akitia saini mkataba wa makubaliano ya kupanda ulingoni kuzichapa siku ya sikukuu ya Idi mosi na Bondia Darius Lipupa wa Zambia, katika pambano lao litakalopigwa katika ukumbi wa Dar Live. Kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED, Yassin Abdallah 'Ostadhi'
 TPBO LIMITED, Yassin Abdallah Bondia Francis Miyeyusho, akiweka alama ya Dole.
 TPBO LIMITED, Yassin Abdallah Rais wa TPBO Ltd, Yassin Abdallah 'Ostadhi' akimkabidhi kitita cha fedha taslimu, ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo, baada ya kutiliana saini leo jijini Dar es Salaam. Picha na Super D