Pages

USAIN BOLT KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUICHEZEA MANCHESTER UTD..!

Usain Bolt
Habari kutoka ndani ya klabu ya Manchester UTD ya Uingereza zinasema ya kuwa itamualika mwanariadha mwenye rekodi nzuri Duniani Usain Bolt katika mechi ya heshima kwa beki wa klabu hiyo Rio Ferdinand ambaye anatimiza miaka kumi ndani ya Old Tranford, mtanange huo utapigwa mwezi ujao tarehe 9 ndani ya dimba la Old Tranford ambapo Manchester UTD itakipiga na Klabu ya Seville kabla ya kuanza kwa msimu wa ligi kuu ya Uingereza na nafasi atakayopangwa bolt katika mechi hiyo itatangazwa na klabu ya Manchester hapo baadae. Bolt alikwishawahi kumuomba aliyekuwa bosi wa Manchester Sir. Alex Ferguson lakini hakuweza kupewa nafasi hiyo, Bolt alisema ataonyesha kitu tofauti katika kusakata kabumbu pamoja na kukimbia na mpira kwa spidi yake ya riadha.
Manchester Sir. Alex Ferguson
 Bolt amepewa nafasi hii ya heshima baada kwa muda mrefu kutamani kucheza japo kwa dakika 10 tu katika klabu ya Manchester UTD.

CHEKA NA KITIME BLOG YAFUNGUA KAMPUNI YA BIASHARA ZA KIMATAIFA

 BIASHARA ZA KIMATAIFA 
Tatuu RimuvaBaada ya kila jitihada kupata matangazo katika blog hii kukwama, blog hii imegundua biashara mpya kabisa ambayo itasaidia kuingizia blog hii fedha nyingi zikiwemo fedha za kigeni. Wakurugenzi walioishiwa mkwanja wa blog hii wamefungua kampuni ambayo imeamua kujikita katika kurekebisha makosa ambayo yamefanyika katika miili ya wadada.
Wadada wengi wamekuwa na tabia ya kujichora tatoo na baada ya muda kugundua kuwa hawazitaki, hivyo blog hii imejikita katika biashara ya kuondoa tatoo. Kwa kutumia teknlojia inayoitwa Tatuu Rimuva wamejipanga kuondoa tatoo kwa mfano zilizopo hapo chini. Meneja masoko ametumwa kuwatafuta wenye tatuu hizi na kujaribu kuingia nao katika mkataba huu mnono wa kuondoa tatuu zao kwa machine iliyopo hapo juu. Tayari wafanya kazi sita wamemaliza kozi ya digrii ya kutumia mashine hiyo mpya.
Tatuu Rimuva
CHEKA NA KITIME

PICHA za SIMBA na YANGA (WABUNGE) JIJINI DAR ES SALAAM, RAIS KIKWETE ALIPULIZA KIPENGA

SIMBA NA YANGA

Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
SIMBA NA YANGA 
Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
SIMBA NA YANGA 
...Akiwakagua Yanga.
SIMBA NA YANGA 
..Akiwakagua Simba.
SIMBA NA YANGA 
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara, marefarii na manahodha wa Simba na Yanga.
Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara,  
Vikosi vya Simba na Yanga.
 
JK akipuliza kipenga.
RAIS KIKWETERAIS KIKWETE 
Mtanange ukiendelea.
 
Score board ilisomeka hivi.
RAIS KIKWETE 
Mashabiki.

Hairless Cow Shocks Locals in Narok (Video)

Many are used to seeing cows that have fur on their bodies. but in rare instances some cattle are born without fur because of a genetic condition known as hypotrichosis. This is the story of a woman in Oloborsoita village in Narok who keeps a furless cow that has freaked a majority of her neighbours.

Miraa (Mirungi) Offering, The Other Side Of Miraa Farming (Video)

Even as the United Kingdom's government begins the implementation of a ban it imposed on miraa, farmers who grow the crop in the country are pondering over their next move, knowing fully well the adverse impact the ban will have on their livelihoods. But miraa it has emerged plays a huge role in the lives of residents of Meru County. The miraa crop apart from being a big source of income is also used for trade among the locals and even used as offering in the different churches across Meru County. Citizen TV spoke to a farmer who plucks miraa from his farm every Sunday morning for offering, and a bishop who has built his church from miraa offerings to understand the other side of miraa farming.

Safari Rally: Big Names Forced to Retire From Race

ANDY MURRAY IS THE NEW WIMBLEDON CHAMPION..!!

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!

Andy Murray won his first Wimbledon title and ended Britain's 77-year wait for a men's champion with a hard-fought victory over world number one Novak Djokovic.

JAY Z "Holy Grail" feat Justin Timberlake (Audio)

TID Ndani ya The Sporah Show (Video)

Anusurika Kuuawa Baada ya Kumbusu Mnyama Simba

Lauren Fagen
Binti mmoja nchini Afrika Kusini amenusurika kifo baada ya kumbusu simba anayefugwa aliyekuwa amefungiwa katika banda lake katika hifadhi ya wanyamapori nchini humo.
Kijana huyo Lauren Fagen kutoka Montreal amepata majeraha kadhaa mwilini kwake wakati Simba huyo dume alipovuta miguu yake ndani ya banda hilo katika kituo cha Moholoholo Wildlife Rehabilitation.
Binti huyo mwenye umri wa miaka 18 anayefanya kazi za kujitolea anaye endelea na matibabu katika hospitali amesema ni bahati kubwa kwake kuwa hai.
Fagen alianza kazi za kujitolea katika kituo cha wanyamapori mwezi Juni mwaka huu akifanya usafi katika mabanda ya simba na kuwalisha wanyama wengine.