Pages

MBOWE "SHAMBULIO LA KIGAIDI LILILENGA KUNIUA PAMOJA NA LEMA"..

FREEMAN AIKAEL MBOWESHAMBULIO LILILOFANYWA JUZI KAYIKA MKUTANO WA KUHITIMISHA KAMPENI ZA CHADEMA LIMEFANYA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MH.FREEMAN AIKAEL MBOWE KUTOA TAMKO RASMI LA CHAMA KUWA,LILILENGA KUWAUWA YEYE NA MBUNGE WA ARUSHA MJINI MH.GODBLESS LEMA.
AKIZUNGUMZA JANA NA WAANDISHI JIJINI HAPA MBOWE ALISEMA,WAMEGUNDUA RISASI ZA SMG PAMOJA NA BASTOLA ZILIZOTUMIKA BAADA TU YA BOMU LILE KURUSHWA NA RISASI KUANZA KUPIGWA MFULULIZO KUELEKEA WALIPOKUWA.
AMESEMA KUWA TUKIO HILO WANALICHUKULIA KWA UZITO MKUBWA NA BAADAE WATATOA MAJUMUISHO YA UCHUNGUZI WA TUKIO ZIMA HUKU WAKIONYA KUWA MATUKIO HAYA YANAWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MGOGORO MKUBWA AMBAO WAATHIRIKA WAKUBWA MWISHO WA SIKU WANAKUWA NI WANANCHI WA CHINI.

AMEOMBA JESHI LA POLISI IKIWA WANATAKA KUJENGEWA IMANI NA WATANZANIA WAFANYE UCHUNGUZI HURU NA WA HAKI ILI KUBAINI HASA MLIPUAJI ALIKUSUDIA NINI KATIKA TUKIO HILO.
HATA HIVYO MKUU WA JESHI LA POLISI BWANA SAIDI MWEMA AMEWATEUWA MAKAMISHNA WAWILI AKIWEO PAUL CHAGONJA KWENDA KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA ILI KUBAINI KADHIA HII.

Kata K- Wildwood, New Jersey, Bans Low-Slung Trousers (US Town set to ban saggy trousers)

A young man wearing low trousers in Wildwood, New Jersey 6 June 2013

Repeat offenders of the fashion crime may face community service. A beach town in the US state of New Jersey has passed a ban on low-slung trousers, jeans or shorts on its boardwalk.
Exposed skin and underwear had attracted complaints from tourists, says Wildwood Mayor Ernest Troiano.
The ban prohibiting trousers that hang more than 3in (7.6cm) below the hips on the boardwalk passed on Wednesday.
Civil liberties groups say the ban is unconstitutional and will be overturned if challenged in court.
Wildwood joins a handful of other small US communities that have acted against wearing low-slung trousers.
Under its plan, people would also be required to wear shoes and shirts on the boardwalk.
Mayor Troiano said: "When you have good families who call you up and say, 'I've been coming here 20 years, 30 years, 40 years and I'm not going to any longer because I'm not going to subject my children or my parents or grandparents to seeing some kid walk down the boardwalk with their butt hanging out,' you have to do something."
Under the new law, anyone who breaks the rules will be fined $25-$100 (£16-£64) the first time, and $200 for a repeat offence, or might have to complete 40 hours of community service.
But authorities have suggested police officers would probably issue a stern warning to first-time offenders.
Swimming costumes are already banned on Wildwood's boardwalk.
The fashion trend is believed to have originated in US prisons, where inmates are not allowed to wear belts.
But the look was taken up by hip-hop artists and is commonly worn by young people.

HAPPY FATHERS DAY 2 ALL FATHERS OUT THERE!

HAPPY FATHERS DAY,FATHERS

Sugu aka Mr.II Amtusi Mwana FA -The finest, Soma Alichoandika..!

Baada ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika ....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a MR II a.k.a SUGU..Ameshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
"..The finest???!!..The finest My Ass..." angalia hapo chini
Mwana FAMwana FA

Ommy Dimpoz Anaomba Msamaha kwa Kumtukana Ngwear. Soma Alichokiandika!!

Ommy Dimpoz  Baada ya watanzania kumwandama Ommy Dimpoz kutokana na tusi alomtukana marehemu Ngwea, msanii huyo ameamua kuwapigia magoti watanzania na kuwasihi wamsamehe.....
Hali hiyo imekuuja baada ya.. watu mbalimbali kutangaza kumsaka Ommy kwa lengo la kumwadabisha kwa kumpa kichapo kikali...
Miongoni mwa watu hao ni TID ambaye kupitia ukurasa wake wa facebook ametangaza vita dhiti ya Ommy Dimpoz....
Hii ni post ya Ommy ambayo ameitoa akiomba asamehewe kwa kauli zake na matusi aliyoyatoa kwa marehemu Ngwea....
facebook

Ivory Coast 4 Tanzania 2

Ivory Coast 4 Tanzania 2Ivory Coast imefanikiwa kusonga hatua ya pili na ya mwisho katika kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia, baada ya kuifunga Tanzania mabao 4-2 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumapili katika mchezo wa Kundi C kanda ya Afrika.
Kwa ushindi huo, Ivory Coast imetimiza pointi 13 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote katika kundi hilo na sasa itasubiri kucheza na mmoja wa washindi wengine wa makundi mengine tisa ili kuwania kwenda Brazil mwakani.
Tanzania inabaki na pointi zake sita, huu ukiwa mchezo wa kwanza kufungwa nyumbani katika kampeni hizi na Morocco bila kuhusisha matokeo yake na Gambia, ina pointi tano.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Mehdi Abid aliyesaidiwa na Hamza Hammou, Bauabdallah Omar wote kutoka Algeria, hadi mapumziko Ivory Coast tayari walikuwa mbele kwa mabao 3-2.
Stars ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao mfungaji Amri Ramadhani Kiemba dakika ya kwanza tu aliyepokea pasi ya Mbwana Ally Samatta kufuatia mpira wa kurushwa na Erasto Edward Nyoni kusababisha kizazaa langoni mwa Tembo wa Abidjan.Kusoma zaidi bofya.....

Kim Kardashian Gives Birth to Baby Girl! Star Has First Child by Kanye West a Month Early at Los Angeles Hospital

 Kim Kardashian It's a girl! Kim Kardashian has reportedly given birth to her first daughter with Kanye West on Saturda. Kim Kardashian gave birth to her first child on Saturday - a month ahead of her due date.
Mail Online exclusively revealed that the 32-year-old had been admitted to hospital in Beverly Hills on Friday.
The reality star had taken out a birthing suite at Cedars-Sinai Medical Center - a hospital of choice among many celebrities including Britney Spears, Victoria Beckham and Jessica Simpson.
Hours later - around 1:30 a.m. on Saturday - she gave birth to her baby girl.
Her partner, rapper Kanye West, and mother Kris Jenner were reportedly at her side.
TMZ cited sources that she had a natural birth after having contractions late Friday evening.
Kim had planned to have a C-section but after suffering an infection had decided to take the precaution of going to the hospital a few weeks early, according to X17Online.
Her due date was reportedly July 11 - the same day as Kate Middleton. Both mother and baby are in good health and resting, but given the... Read more Vijimambo

MASANJA KATIKA POZI ZA KAZI ZAIDI

Masanja Mkanamizaji
Masanja Mkanamizaji katika pozi mbalimbali
Patakuwa hapatoshi hapo Julai 6, katika Miaka 3 ya Vijimambo pamoja na Tamasha la Kiswahili
Vijimambo pamoja na Tamasha la Kiswahili
Tamasha la Kiswahili

NAKEMEA - PEWA ABAGENGE (Audio)

NAKEMEA -PEWA ABAGENGE

Bomu Limelipuka Kwenye Mkutano wa CHADEMA Arusha Leo Hii, Watu Kadhaa Wahofiwa Kupoteza Maisha!

BomuMKUTANO HUO UNASADIKIWA KUWA NA WATU ZAIDI YA ELFU MBILI NA PIA BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WANASEMEKANA KUPATA M,AJEREHA NA WAMEKIMBIZA HOSPITALI KWA MATIBU YA HARAKA
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.
BLOG HII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILI HIVYO USIKAE MBALI NA BLOG HII YA HABARI NA BURUDANI ZA UHAKIKA.
Bomu