Pages

Yanga Kutoenda Darfur Sudan

klabu wa Yanga Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo cha karibu na uongozi wa klabu wa Yanga ni kwamba mabingwa hao watetezi wa kombe la Kagame hawatoenda kushiriki michuano hiyo mwaka huu iliyopangwa kuanza hivi karibuni huko Darfur Sudan.
Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ya Tanzania kusema kwamba haioni busara kwa vilabu kwenda Darfur kwa sababu eneo hilo bado halina usalama wa kutosha - kauli iliyopelekea mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage kusema kwamba timu yake haitokwenda Darfur kushiriki michuano hiyo mwaka huu.
Kwa mujibu wa CECAFA na chama cha soka cha Sudan ni kwamba michuano hiyo itachezwa kwenye lililo salama na lenye ulinzi mkubwa hivyo timu hazihitaji kuwa na wasiwasi juu ya usalama wao pindi watakapoenda kushiriki michuano hiyo mapema mwezi ujao.
Hatua ya Yanga kujitoa inazidi kuongeza idadi ya vilabu ambavyo vimesema ikiwa michuano hiyo itafanyika Darfur basi havitashiriki Kagame Cup mwaka huu, vilabu vikubwa vya Sudan AL Hila na El Merreikh, Tusker ya Kenya na Simba SC vyenyewe vilishatangaza uamuzi wa kutokwenda Darfur kwa ajili ya michuano hiyo.
Shaffih Dauda

AIRTEL RISING STARS."WHERE FOOTBALL STARS ARE BORN" WEWE KIJANA USIKOSE NAFASI HII

USAJILI wa timu za mikoa inayoshiriki mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu umekuwa na mwitikio mkubwa miongoni mwa vijana wa umri huo katika mikoa ya Temeke, Ilala, Kinondoni na Tanga.
AIRTEL RISING STARSWakizungumza kwa nyakati tofauti makatibu wa mikoa hiyo ambao ndiyo wanaoratibu zoezi hilo la usajili wamesema... kuwa vijana wengi wamejitokeza kiasi cha kulazimika kufanya mchujo ili kupata timu sita zinazotakiwa kushiriki Airtel Rising Stars ngazi ya mkoa.

Katibu wa mkoa wa kisoka wa Temeke, Mbarouk Mohamed alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa kumekuwa na mwitikio wa ajabu ambapo zaidi ya timu mia zimejitokeza na kuwalazimu kuanza kufanya mchujo kwa kuzingatia vipaji ili kupata idadi ya timu sita zinazohitajika kushiriki. “Kwa kweli ni vijana wengi mno wanaotaka kushiriki mashindano haya ya Airtel Rising Stars na tunaamini kuwa kujitokeza kwao kwa wingi kunatupa wigo mpana wa kupata wachezaji wazuri watakao...

Rooney to Arsenal & Ronaldo to leave? | Transfer Talk (Video)

James Richardson, Tore Andre Flo and Peter Staunton discuss the transfer rumours around Wayne Rooney and Ronaldo.

Elephant Slaughter in Tanzania -By Serengeti Watch.

Elephant
"As you read this, African elephants are being killed in unprecedented numbers.
Blood ivory now involves well armed and organized gangs, terrorist groups, official corruption, and a huge demand from China and Thailand, even the US.

Iain Douglas-Hamilton, who has been studying and protecting elephants in Africa for 47 years, states, "There's an enormous slaughter of elephants going on in Tanzania right now. Things are out of hand. There's no protection in numbers for elephants any more than there was for bison in the 19th Century when they were all wiped out in America. So people shouldn't kid themselves."
The slaughter is most critical in Tanzania,
which has perhaps a quarter of the
elephants left on the continent.
Many reports say Tanzania is losing 10,000 elephants a year, but others say that the number is higher, up to 90 a day in some areas - reportedly the highest rate in Africa!"
Serengeti Watch.

The Best Thing Africa Has To Offer (Video)

Michael Jackson’s Daughter Paris is Admitted After Tries to Kill Herself.

Paris, Michael JacksonParis Jackson, the daughter of late pop legend Michael Jackson, is in hospital after attempting to kill herself, a publicist has confirmed.
Paris, 15, is “doing good” and recovering, said Angel Howansky, her grandfather’s publicist.
Emergency officials said they responded to a reported overdose in the Calabasas area of Los Angeles where Paris lives, but did not identify the patient.
Ms Howansky, a long-time publicist for Joe Jackson – Michael Jackson’s father and the girl’s grandfather – could not confirm reports of a possible drug overdose or multiple cuts on her wrist.
But she later said that Paris was “doing good”.
Paris, Michael Jackson’s only daughter, is currently part of a multi-million dollar lawsuit against the concert promoters AEG Live, who the Jackson family says bears responsibility for her father’s death from an accidental drug overdose in June 2009.BBC

Woman Charged With Assault Of ABC6 News Crew (Video)

A Rhode Island woman has been charged with assault after she threw a rock, waved a baseball bat and urged her dogs to attack a news crew reporting on a kindergarten graduation party shooting.
WLNE-TV reports that its cameraman and reporter were trying to speak with Melissa Lawrence, the mother of a victim, Tuesday after a teenage boy turned himself in to police.
Video shows Lawrence throwing a rock at them, wielding a bat, screaming "Get away from me," and directing her two pit bulls to attack. The dogs then bite reporter Abbey Niezgoda (niz-GOH'-dah) on her forearm. WLNE says Niezgoda received a tetanus shot.
The Providence Journal reports Lawrence was released on personal recognizance Wednesday after not guilty pleas were entered on her behalf.
ABC6 News Crew Attacked' In Rhode Island While

FLORA LYIMO AZIDI KUMPASUA KICHWA LE MUTUZ SUPER BLOG YA WANANCHI, SOMA HII..!

HARD TALK~ MBURULA'S WA MAMBURULA'S AWADANGANYA WASOKUWA NA SUPER/ TENA TOP IN THE WORLD BLOG'S KAMA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG" MBUTA NANGA!! MSIDANGANYIKE WALIMWENGU'
FLORA LYIMO FASHION POLICE
FLORA LYIMO FASHION POLICE /TOP IN TOWN MTANZANIA HALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO" NA ASOMUOGOPA MTU WALA KITU"
Jamani hebu msomeni huyo hapa chini na mauongo yake' hapo awaonyesheni COPY kama ya kwangu na siyo MANENO MATUPU yakujiandikia' any one anaweza kujiandikia hizo namba kwenye page yake' mie naona hizo ni zile namba alizokuwa ana DO' kule Marekani hadi alipofukuzwa mle'hebu awaambieni ukweli na aache kuwadanganya'vinginevyo Flora Lyimo yupo kuwamulika WAHARIBIFU WOTE' ONE BY ONE" mbuta nanga!!
LE MUTUZ SUPER BLOG YA WANANCHI SASA TUMEANZA KU-HIT FROM 25,00 TO 20,000 VISITORS A DAY + 5,000 WA FACEBOOK = 25,000 VISITORS A DAY!! THANKS PEOPLE!!
VISITORSJAMANI NIMECHEKA SANA JAPO SIKUPENDA MUONE HII 'DAAH'' ILINIBIDI MUIONE SIPENDI WATU KUDANGANYIKA,NA HATA HIVYO INAHUU ' AU NDO KUTAKA KUONYESHA WEWE SIYO MBURULASA WA MA MAMBURULA'S SASA KAA UKIJUA KUNA MCHAGGA TOP IN TOWN ALIOPO MAJUU HAOGOPI KUSEMA UKWELI NA KUYAFICHUA MABOVU YOTE' HASA KUFYETUA FYETUA YOTE NA KUYAANIKA WAZI TENA KWENYE MIKEKA MWEKUNDU' HABARI NDO HIYO NYOTA ZANGU' MPOO" 
Pageviews
POLICE BLOG
Top traffic sources - www.jamiiforums.com/www.facebook.com |m.facebook.com | www.google.co.tz

FLORA LYIMO FASHION POLICE PAGE VIWERS 05-06-2013
POLICE BLOGPageviews today
9,489
Pageviews yesterday
14,557
Pageviews last month
209,396
Hahahhahahaa nimecheka sana alafu ikanibidi nisinyamaze kimnya Walimwengu msojua au kuwa na Blogs mzidi kudanganywa' ukweli ni huu hapa na kama anataka kubisha awaonyesheni kama hii ya kutoka kwangu FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'
Hivi ni kwanini kujipachika vitu usokuwa navyo na kudanganya Wananchi
au niseme wenzio na huku unajua kuna kitu kinaitwa Upelelezi na Ushaidi''
Mbuta Nanga" ndiyo maana watu wakasema hayo matangazo yote aliyojaza
kwenye Kile kiblog chake halipwi hata hela ya soda'' sasa oneni hapa ''
alafu mjue kweli ukiona mtu akikimbiza mwizi jua yeye ndo mwizi ' ' habari ndo hiyo" so ajipange upya 'hakuna kuwadanganya watu hapa ukidhania Top Bloggers tutakuacha" 

MAELFU WAMZIKA ALBERT MANGWEA MOROGORO (Video)

Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Morogoro na maeneo mengine ya jirani wamejitokeza kwa wingi kuuaga na kuuzika mwili wa aliyekuwa msanii wa kizazi kipya, Albert Magwea maarufu kama Ngwear au Cowboy.

MOTO WATEKETEZA NYUMBA NA BAA KINONDONI

Nyumba nne zimeungua moto ikiwemo baa moja iliyopo Kinondoni maarufu kama Kinondoni sterio ambayo imeteketea yote huku ikiacha hali ya sintofahamu kwa ndugu jamaa na marafiki waliopaswa kuhudhuria sherehe iliyokuwa imepangwa kufanyika katika moja ya ukumbi uliopo katika baa hiyo.