Pages

Producer Mswaki - Albert Mangwea/ Open Letter (Audio)

Producer Mswaki - Albert Mangwea

P FUNK AMESEMA HATAKI KUSIKIA TENA NYIMBO ALIZOREKODI YEYE ZA MAREHEMU MAGWAIR ZIKIPIGWA CLOUDS FM

Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.
Producer

Serikali Imelaumiwa kwa Kuwaacha Wawekezaji Wakigeni Kuwa na Umiliki wa Ardhi wa Kimila... (Video)

Serikali imelaumiwa kwa kuwaacha wawekezaji na raia wakigeni kuwa na umiliki wa ardhi wa kimila kinyume na sheria za nchi pamoja na kutakiwa kuhakikisha jengo lililoko karibu na jengo lililoporomoka jijini dar es salaam linabomolewa haraka iwezekanavyo kutokana na kuwa hatari kwa usalama wa wananchi

Nikki Mbishi, Zillah, Shashow na Cliff Mitindo - Imeandikwa (Audio)

Nikki Mbishi, Zillah, Shashow na Cliff Mitindo

Obama na Team Yake Wafunga Hoteli Katikati ya Jiji Dar es Salaam

Obama
Wakati Rais wa Marekani, Barrack Obama akitarajiwa kuwasili na msafara wa watu 700, baadhi ya hoteli zenye hadhi ya nyota tano jijini Dar es Salaam zimeanza kusitisha kupokea wageni kutokana na ujio huo.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani ilisema Rais huyo, anatarajiwa kuwasili nchini Julai Mosi kwa ajili ya ziara ya siku tatu hadi Julai 3 mwaka huu ili kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo pamoja na nchi za Afrika. Msafara huo utajumuisha watu mbalimbali wakiwamo wafanyabiashara.

ALBINISM AND AFRICA : HORRORS GIVE RISE TO AWARENESS (Video)

Tigo Tanzania Imezindua Huduma Mpya ya Malipo ya Biashara Kupitia Simu ya Mkononi -Tigo Pesa.

Tigo Dar es Salaam Tanzania: Tigo Tanzania imezindua huduma mpya ya malipo ya biashara kupitia simu ya mkononi ambayo itawawezesha wateja wake kununua bidhaa mbalimbali kupitia Tigo Pesa.
“Tigo inafanya jitihada za juu kabisa kuhakikisha inavumbua bidhaa na huduma zinazoongeza thamani na kurahisisha maisha ya watanzania kwa ujumla. Dhamira yetu ya kuwapatia watanzania huduma mbalimbali zinazokidhi mahitaji yao kupitia simu za mkononi ndio kitu kinachotusukuma sisi kama kampuni ya simu iliyobobea kwenye ubunifu. Kupitia huduma hii ya malipo ya biashara ya simu za mkononi Tigo inapanua uwigo wa Tigo Pesa na kuifanya kuwa ni zaidi ya kutuma na kupokea pesa tu, kwa kuwawezesha wateja wetu kuwa na mfuko wa kidijitali wa kuhifadhi pesa ambao unaweza kutumika kununua na kuuza bidhaa. Huu ni ubunifu mkubwa sana kwa upande wetu!” Alisema Bwana William Mpinga, meneja wa chapa ya Tigo.
TigoBwana Mpinga aliendelea kufafanua kuwa “Kutumia malipo ya biashara ya simu za mkononi ni njia nyepesi na ya usalama kabisa ya kufanya biashara. Hatari zinazoendana na kubeba fedha zitapunguzwa kwa kiasi kikubwa sana sababu wateja watakuwa wanalipia bidhaa kwa kutuma Tigo Pesa. Hata Bishara zitapunguziwa hatari ya wizi wa fedha kwani mauzo yao ya siku yatakusanywa na kupelekwa moja kwa moja kwenye mfuko wao wa Tigo Pesa ambapo wanaweza kutuma fedha zao kwenye akaunti zao za benki kwa zile benki zizazoshirikiana na Tigo Pesa. Vile vile, huduma hii itafungua milango kwa biashara nyingi zinazohusiana na machukuzi hivyo kuwapatia watanzania mbinu mbadala za ajira. Kwa mara nyingine tena tunawajenga wateja wetu muhimu kupitia Tigo Pesa kwa namna ambayo haijawahi kufanyika, na hii ndio dhamira kuu ya chapa ya Tigo!”

Zaidi ya wafanyabiara wa Tigo Pesa elf hamsini nchi zima wameshajiunga kwenye huduma hii. Namba hii inatarajiwa kukua kadri siku zinavyoendelea hivyo kuwapatia watanzania huduma bora za kufanya biashara.

TRA Imeteketeza Shehena Kubwa ya Vipodozi Vyenye Viambata vya Sumu (Video)

Mamlaka ya mapato -TRA mkoani Mbeya imeteketeza shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na pombe inayoingizwa nchini kinyume cha sheria ikiwa imefungwa kwenye pakti za nailoni, zinazojulikana kwa jina maarufu la viroba.

TAARIFA KAMILI YA KWANZA YA KIFO CHA NGWAIR FROM ONE OF HIS CLOSE FRIEND, PIA NYIMBO YA MAOMBOLEZO!!

ALBERT MANGWAIR
KIFO CHA ALBERT MANGWAIR 28/May 2013, R.I.P!!! kiukwel alikuwa yeye na jamaa zake 3 yan walikuwa wa 4, Leo asubuh walikuwa wanarud toka viwanja na Ngwair tiketi yake ya ndege ilikuwa tayar kwa ajir yakusafir Leo hivyo tulikuwa tayar kumsindkiza Airport Leo Asubuh, hvyo wakamgongea mshikaj akawafungulia, waliingia ndan lakn wakawa wapo kama tungi hivi, sasa ikawa wanaendelea kula mambo yao ndan ila ghafla kama Mangwair akaanza kujisikia ovyo, then akaanguka nakujihs anapoteza faham watu wakaona kama anafanya masiala, so ikazd had mida ya saa sita mchana ikawa serious pia jamaa mwingine nae akapoteza faham hvyo hvyo coz walizidisha mambo kutumia, nas tukaitwa kumchek ikabd tuogope mpaka mida ya saa nane mchana ilibd tumpigie simu jamaa fulan Msouth Africa ni Taxi Driver ili tumpeleke Hospital coz sis tuliogopa kumpeleka na magar yetu Binafsi, akaja tulimchukua pamoja na yule mwingne had hospital kufika Doctor kumchek tayar ameshakufa na yule mwingne bado yu hai ila hali yake sio nzur, ilibd jamaa Kat yetu asign kuhusu na kufa kwa Mangwair na kesho Doctor atatupatia karatas ili tukabdhiwa mwili wake kwa ajr yakuusafirisha Tanzania!! Hivyo Ndvyo ilivyokuwa had kufa kwa Albert Mangwair R.I.P!!!

The Game -- SHIRTLESS RAGE ... After Fight Breaks Out at Hollywood Club [Video]

The Game was this close to jumping into a huge fight in Hollywood this weekend -- even taking off his shirt in preparation for battle -- but something crazy happened ... his entourage held him back!