Pages

Tina Turner is Renouncing Her U.S. Citizenship to Become Swiss!

Tina Turner 
Turner, 73, has lived in the Zurich suburb of Kuesnacht since the mid-1990s and speaks fluent German.
The local Zuerichsee-Zeitung newspaper claimed on its website the local council announced its decision to grant Turner citizenship in an official notice published in Friday's edition.

The decision still demands formal approval from state and federal authorities.
Turner told a local German newspaper: "I'm very happy in Switzerland and I feel at home here. I cannot imagine a better place to live."
Her agent revealed to Zuerichsee-Zeitung that Turner wanted to "clarify her situation".
"Tina Turner will therefore also give back her US citizenship," she was quoted as saying.

Needless to say that Tina Turner's move has sparked rumors she is ...

12yr Old Girl Cries Crystals!

A young Lebanese girl has up to 7 crystals coming out of her eyes a day? razor sharp but dosen't seem to harm her at all.

Мальчик с 8 конечностями - Моя Ужасная История

Шесть лет назад в Индии родился мальчик, которого назвали Дипак. Его "близнец-паразит" растет вместе с ним. Посмотрите, как хирургичесоке вмешательство может изменить жизнь Дипака.
Сиамские близнецы — это однояйцовые близнецы, которые не полностью разделились в эмбриональном периоде развития и имеют общие части тела или внутренние органы. Обычно оплодотворенная яйцеклетка делится на шестой день после зачатия. Сиамские близнецы образуются, если яйцеклетка делится очень поздно, через 14-15 дней после оплодотворения. К этому времени клетки зародыша специализируются так, что полное разделение близнецов в утробе матери становится невозможным. Вероятность рождения сиамских близнецов составляет примерно один случай на 200 000 родов. Около половины сиамских близнецов рождаются мёртвыми. Результирующий уровень выживания младенцев 5—25 %. Чаще сиамские близнецы имеют женский пол (70—75 % случаев).

The Most Insane News Story You'll See Today

Seriously, when's the last time you heard anything even half as crazy as this?

"Kamati ya Nishati na Madini na POAC Zimevunjwa Ili Kuficha Ufisadi wa Bomba la Gesi" Zitto -Video

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe amesema vitendo anavyofanya Spika wa Bunge havikubaliki na anavifanya kwa makusudi ili kulinda ufisadi nchini. Zitto aliyasema hayo katika Viwanja vya Temeke alipokuwa akihutubia Wananchi katika Mkutano maalum wa kuwapokea Wabunge wa CHADEMA.

Heka heka ya Feb11, Mjamzito Kanyang'anywa Mimba na Bibi Kwenye Daladala

 
Hekaheka ya leo february 11 2013 imeanzia kwenye daladala ambapo dada mmoja mjamzito alikua kakaa karibu na bibi, ghafla yule dada akasikia ujauzito umeondoka yani tumbo limepotea katika hali isiyo ya kawaida, ndio akaanza kumsakama huyo bibi kwa madai kwamba ndio kauchukua huo ujauzito, kisa kizima unaweza kukisikiliza hapa chini…

Mkasi With Majuto

Soldier Hard's Hip-Hop Lyrics Reveal PTSD's Rough Edges

Sleep-starved from a repeating nightmare and weary from wondering when all that therapy would reignite his fading hope, former Army tank gunner Jeff Barillaro took aim at his stubborn target with an attack as brilliant as it was simple.
He decided to break up with PTSD.
And he would do it in his increasingly famous style — studio-recorded hip-hop, under his stage name, Soldier Hard.
“I thought: If I could write a letter to PTSD, what would I say to PTSD? Then I thought: Oh, wow, this is going to be powerful,” said Barillaro, an Iraq War veteran, out of the service since 2010, who has steadily gained fame among active-duty troops, young veterans and their families for his bare, often-bleak music about the daily demons of living with severe Post Traumatic Stress Disorder.

  More ...

Misri Imepiga Marufuku Youtube

 YoutubeMahakama moja ya Misri yamepiga marufuku kwa mwezi mmoja tovuti ya kusambaza video ya Youtube kwa kuonesha filamu iliyotusi Uislamu na kuzusha maandamano ya ghasia katika sehemu kadha za nchi za Kiislamu.
Mahakama ya utawala ya Cairo yaliamua kuwa wakuu lazima wachukue hatua kupiga marufuku Youtube nchini na tovuti nyengine yoyote iliyoruhusu filamu hiyo kuoneshwa.
Kesi hiyo ilipelekwa mahakamani na wakili mmoja wa Misri, Hamed Salem, ambaye amewahi kushtaki mashirika mengine ya habari na watu wanaoonekana kuwa wanatusi Uislamu.
Mwezi uliopita mahakama moja ya Misri ilithibitisha hukumu ya kifo kwa Wamisri wasiokuwako mahakamani, kwa kuhusika na filamu hiyo.

Habari ya Uhakika Kuhusu Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Joyce Ndalichako.
Mkurugenzi Mkuu wa NECTA, Joyce Ndalichako.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema matokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika na kuwa habari zilizozagaa wiki hii kuwa yapo tayari si za kweli.
Hata hivyo Baraza hilo limebainisha kuwa licha ya kutokamilika, matokeo hayo yanakaribia kutoka kwa mujibu wa ratiba za baraza hilo ambapo hutakiwa kutoa matokeo hayo mwezi Februari.

Akizungumza na mwandishi jana, Ofisa Habari na Mawasiliano wa NECTA, John Nchimbi alisema uvumi wa kwamba matokeo hayo yako tayari ulitokana na kuzushwa kupitia mtandao wa kijamii (Facebook).

Alifafanua kwamba habari kuwa matokeo hayo yameanza kutoka kisirisiri kabla hayajatangazwa rasmi na kwamba hatua hiyo inalenga kuyachakachua, siyo taarifa sahihi.
Aliwataka wananchi kuwa makini na uvumi huo kwa vile endapo matokeo hayo yatakuwa tayari yatatangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na pia kuwekwa kwenye tovuti ya Baraza pamoja na wananchi kuweza kuyapata kupitia simu zao za mkononi.

“Uvumi huu umetokana na mtu asiyejulikana kufungua akaunti ya facebook yenye jina la Baraza na kuanza kuweka taarifa hizo zisizo sahihi. Napenda kuwajulisha wananchi kuwa Baraza letu halina mtandao kama huo hivyo taarifa hizo si sahihi,” alisisitiza.

Nchimbi alibainisha kuwa matokeo hayo si siri hivyo yakiwa tayari Katibu Mtendaji atayatangaza kupitia vyombo vya habari na baadaye yataanza kusambazwa kwa kutumia mtandao.
Aliwataka wananchi kuwa makini ili wasitapeliwe na wanaojifanya kuwa wanaweza kupata matokeo ya mwanafunzi kabla hayajatangazwa rasmi kwa vile suala hilo haliwezekani.
  • Fun page zinazodaiwa kumilkiwa na baraza la mitihani zinaendelea kupata Fans wengi nakuendelea kupost vitu mbalimbali ambazo vinawakera watu kwa kutokutimiza ahadi hizo kitendo kinachopelekea watu wengi kukoment matusi kwenye page Hizo.
Page hizo ndan ya siku 3 zimepata like nyng sana.Baada ya wananchi weng kupost matusi kwa kuona ahad hazitimii hii ndo. Super duper mpya ambayo wameitoa muda si mrefu

NECTA
Baada ya hapo wakatoa angalizo
NECTA