Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Jan 25

WILAYA YA MOMBA – KUVUNJA CHUMBA CHA GUEST MCHANA NA KUIBA
MNAMO TAREHE 24.01.2013 MAJIRA YA SAA 10:30HRS HUKO KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI IITWAYO SERENGETI ILIYOPO TUNDUMA WILAYA YA MOMBA MKOA WA MBEYA. JOYCE D/O KEMTO,MIAKA 38,MFANYABIASHARA,MKISII MKAZI NA RAIA WA NCHINI KENYA ALIYEKUWA AMEPANGA KATIKA CHUMBA NO.06 ALIIBIWA PESA TSHS 150,000/= ZILIZOKUWA KWENYE MKOBA NDANI YA CHUMBA HICHO. WATUHUMIWA WAWILI 1.EMANUEL S/O CHARLES, MIAKA 40, MZANAKI, MKULIMA MKAZI WA MAGOMENI DSM NA 2. GODFREY S/O BENARD @ SIMFUKWE,MIAKA 42,MUHA,MKULIMA MKAZI WA MWANDIGA KIGOMA WAMEKAMATWA WAKIWA NA MKOBA WENYE PESA HIZO. MBINU ILIYOTUMIKA NI KUPANGA CHUMBA JIRANI NA MHANGA NA KISHA KUFUNGUA MLANGO WA CHUMBA KWA KUTUMIA FUNGUO BANDIA WAKATI MHANGA AKIWA NJE. MHAMGA ALIPIGA KELELE ZA KUOMBA MSAADA BAADA YA KUWAONA WATUHUMIWA WAKIWA NA MKOBA WAKE NA NDIPO WANANCHI WALIPOANZA KUWASHAMBULIA KWA KUWAPIGA MAWE NA FIMBO HATA HIVYO WALITOKEA ASKARI POLISI NA KUWAOKOA. MTUHUMIWA GODFREY S/O BENARD @ SIMFUKWE HALI YAKE NI MBAYA AMELAZWA KITUO CHA...

Sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Mohammad (SAW) Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe
za Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana, na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume, (katikati).
Ustadh Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.

Wanawake mbalimbali waliohudhuria.
Wanafunzi wa Madrasa Munawara Shaurimoyo Wilaya ya Mjini Zanzibar wakisoma Qaswida ya...
MGK - See My Tears
Music video by MGK performing See My Tears. (C) 2012 Bad Boy/Interscope Records Official Music Video for Machine Gun Kelly's - "See My Tears"
CHADEMA: Nape Tafuta Familia Yako Kwanza,Ushahidi Tunao!
Mkurugenzi wa Oganizesheni na Mafunzo Benson Kigaila akifanunua kwa Waandishi wa Habari kuhusu tuhuma za Nape sakata la Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii.

Scam Series #10

I know that this mail will come to you as a surprise as we have never meet before, but you need not to worry as I am using the only secured and confidential medium available to seek for your foreign assistance in a business.I am Mr Ibrahim Ahmed,the director in charge of credit and exchange section of Bank Of Africa,(BOA) Ouagadougou Burkina-faso West Africa with due respect and regard. I have decided to contact you on a business transaction that will be very beneficial to both of us at the end of the transaction.
During our investigation and auditing in this bank, my department came across a very huge sum of money belonging to a deceased person who died on Monday, 31 July, 2000, in a plane crash and the fund has been dormant in his account with this Bank without any claim of the fund in our custody either from his family or relation before i discovery to this development.
The said amount was U.S $10.6M (Ten million six hundred United States dollars). As it may interest you to know, I got your impressive information through the Burkina-faso chamber of commerce on foreign business relations here in Ouagadougou Burkina-faso.
Meanwhile all the whole arrangement to put claim over this fund as the bonafide next of kin to the deceased, get the required approval and transfer this money to a foreign account has been put in place and directives and needed information will be relayed to you as soon as you...
Kakakuona Aomekana Hospitali ya Morogoro na Kutabiri
Mnyama Kakakuona ambaye ana aminika kwa utabiri akirandaranda kwenye hospital ya mkoa wa Morogoro leo.
Askali Magereza akimuwekea vitu mbali mbali mnyama huyo kwa lengo la kutabiri.
Baada ya kuwekewa vitu hivyo mnyama huyo alikwenda kulamba Jembe kama anavyoonekana Pichani.
Baada ya kulamba Jembea pia alikweda kwenye beseni la maji na kuanza kuyanywa.
LEO asubuhi mnyama anayeaminika kwa utabiri Kakakuona ameibuka ndani ya hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro ambapo baada ya kuwekea vitu mbali mbali alichagua maji na Jembe. Wachunguzi wa mambo walisikika wakisema kwamba utabiri wa mnyama huyo ambaye alichagua Maji na Jembe unaashiriki kwamba mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi zitakazo ambatana na mafuriko, pia wachunguzi hao walidai kwamba kwa mnyama huyo kuchagua Jembe ni ishara kwamba mwaka huu wakulima watavuna mazao mengi.
Mnyama huyu amechagua maji kwa kuyanywa na baadae kuyakoroga misiri ya mafuliko hivyo ametabiri mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sambamba na mafuliko pia alichagua Jembe akitabiri kwamba mwaka huu utakuwa sio mwaka wa njaa wakulima watalima na kuvuma kwa wingi"alisema mzee mmoj aliyejitambushwa kwa jina la Jonas Mkude.

Mwigizaji Lulu Kuachiwa kwa Dhamana Kesho Endapo Milioni 20 Itapatikana

Taarifa za uhakika nilizozipata kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho january 25 2013.
Uhakika wa Lulu kupata dhamana ulikua jana jumatano january 23 lakini ikawa imeshindikana kutokana na kuahirishwa kwa sababu jaji alipata dharura na pia kiwango cha pesa za dhamana kilikua hakijatimia.
Chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo.com kimesema dhamana ya kumtoa Lulu ambae amekua chini ya ulinzi kuanzia April 2012 ni milioni 20 za kitanzania.
Lulu amekua akishikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwigizaji Steven Kanumba, endelea kuipitia millardayo.com kwa stori zaidi.

Subscribe to:
Posts (Atom)