Pages

Vodacom Internet Users Get Up to FIVE Times More Access

• Subscribers to access Wikipedia, Facebook and Twitter for free
• New volumes give users the best customer experience
Dar es Salaam, 12th July, 2012: Vodacom subscribers have another reason to..

Yahoo Confirms Theft Of 450,000 Users Passwords!!

LONDON (AP) — Some 450,000 Yahoo users' email addresses and passwords have been leaked because of a security breach, the company confirmed Thursday, adding that just a small fraction of the stolen passwords were valid.
The company said in a statement that an "old file" from the Yahoo Contributor Network was compromised Wednesday. Among the stolen emails and passwords were..

Do You Know The Benefits Of Consuming Dates? "Tende"

Dates are often associated with Muslim’s when breaking fast and it is seen more often on sale during the holy month of Ramadan. The reason why it is the tradition for Muslim to break their fast by eating dates is because they are rich in fibers, vitamins and minerals. These natural products contain oil, calcium, sulphur, iron, potassium, phosphorous, manganese, copper and magnesium which are beneficial for health. Therefore, breaking fast by eating dates helps Muslims to avoid overeating when breaking fast. When the body absorbs the nutritional value of the dates, the feeling of hunger is reduced. It is said that consumption of at least one date daily is necessary for a balanced and healthy diet.
Dates are termed as king of sweets and are ideal food which easily balances and aids in digestion. It gives extra energy to a tired human body within half an hour after taking it. Dates are also considered to be the best diet for women during the confinement period. Below are some examples of benefits which dates can bring for our body:

  •  Constipation: The reason that dates are beneficial for..

Investment

Baba Mzazi wa Diamond Atiririka Kuhusu Ulimbukeni wa Mwanae!!

BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’, (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye huyo huku akimsukumia tuhuma nzito mama mtu!
ASAKWA PANDE ZOTE ZA DAR
Awali lilitangulia zoezi la kumsaka baba Diamond katika pande zote za Jiji la Dar es Salaam ili kumsikia alichonacho moyoni kuhusu..

Ulaji Na Uuzaji Wa Nguruwe Wapigwa 'Stop'- Iringa.


SERIKALI Mkoani Iringa imepiga marufuku uchinjaji na ulaji wa nyama ya nguruwe (kitimoto) baada ya kuibuka upya kwa ugonjwa wa homa ya Nguruwe uliopelekea nguruwe zaidi ya 100 katika Manispaa ya Iringa na Iringa vijijini kufa kwa ugonjwa huo. Ugonjwa huo unatishia maisha ya Nguruwe 36,179 wenye thamani ya shilingi bilioni 5, 426,850,000 kwa upande wa wilaya ya Iringa vijijini pekee huku katika Manispaa ya Iringa nguruwe 2812 wenye thamani ya shilingi milioni 421,800,000 wapo hatarini kukumbwa na ugonjwa huo.

This is Bongo!! CHAUMA

Mzee Yusuf Akiwalambisha U.A.E

Watch Out Dec 2012 End of The World ,Remember Sodom And Gomorrah?!?

Vodacom Kutoa Tuzo kwa aandishi Mahiri Kumi wa Mitandao ya Jamii na Tovuti Nchini.

Waandishi wa mitandao ya kijamii na tovuti kupewa tuzo kutokana na jitihada na mafanikio yao.
http://darslamproductions.blogspot.com/
Tuzo hizo kuitwa “ Tuzo za umahiri wa digitali za Vodacom” Dar es Salaam, 11 julai, 2012.... Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, itatoa tuzo kwa waandishi bora kumi mahiri katika mitandao ya kijamii kutokana na umahiri wao. Tuzo hizo ambazo zimepewa jina la..