Pages

Just be careful when you are in Dubai as this Teacher has been jailed over public sex claims "was just a kiss"


A MAN jailed in Dubai after being convicted of gay sex in public today revealed he is lodging an appeal.
In an exclusive interview with the Evening Express, Paul Brandt, 29, who was in the United Arab Emirates working as an IT teacher at Dubai’s Deira International School, said: “There was no sex involved. I am serving a three-year sentence and I have lost my job, all because of a kiss – but this is Dubai.”
It was claimed that Aberdeenshire teacher Mr Brandt was spotted embracing another man

Hasan Salaam, The Man with Hip Hop Blood flowing his Veins!!




Find out more about his Projects with real stuff at hasansalaammusic.com

Baba Mzazi wa Lulu aelezea uhusiano wa Kanumba, aomba haki itendeke!

Baba mzazi wa Muigizaji wa kike wa filami nchini   maarufu kama Lulu, ambaye anahusishwa na kifo cha marehemu Steven Charles Kanumba,  ameibuka na kueleza kushtushwa  sana na  taarifa za kifo hicho pamoja na habari kuwa bintiye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji huyo nguli na kuwa anahusika na kifo chake. Baba Lulu,  ambaye alijitambulisha kwa jina la Michael Edward Kimemeta(49) mzaliwa wa Wilaya ya Rombo,  Mkoani Kilimanjaro, kaiambia Globu ya Jamii leo huko Moshi kuwa alimtambua Steven Kanumba kama mwalimu wa mtoto wake Lulu,lakini hakuamini  masikio yake baada ya kupata  taarifa za kifo hicho,  huku bintiye, anayedaiwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu, anahusika.Lulu alifikishwa mahakamani jana April 11, 2012 akikabiriwa na mashtaka ya mauaji ya  Marehemu Steven Kanumba, ikiwa ni siku nne baada ya kifo cha msanii huyo. Alisema kuwa Elizabeth ama Lulu alizaliwa tarehe  April 17,1995 katika hospitali ya..

Another part of Tanzania and Uganda History!

Pata fursa ya kushuhudia mfululizo wa videos zinazokuonyesha matukio yaliyo tokea katika VITA VYA KAGERA (KAGERA WAR)  Iddi Amin v/s Julius Nyerere!! shocking images..!

Kama hukuwepo enzi hizoo niwakati wako kushuhudia na sio kusimuliwa tu, ili kuendalea na matukio yaliyofatia bofya hapo chini neno Read more..!

R.I.P Steven Kanumba


Taarifa zilizothibitishwa na mmoja wa ndugu za Marehemu, zinasema kuwa Marehemu Steven Kanumba alifariki majira ya saa nane usiku, muda mfupi baada ya kutokea mzozo kati yake yake na rafiki yake wa kike ambaye ni msanii mwenzake wa filamu.

AFANDE SELE AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUKAMATWA KWAKE NA POLICE,KUTUPWA SELO!! a.k.a BABA TUNDA!

Ndugu zangu ambao ni mashabiki wangu!!
Juzi wakati nimerejea kutoka Tanga, majira ya jioni ndugu zangu Ballet Wallet(mtupori) , Adam Lumbe na Twenty Percent (20%) walitoka na gari yangu, kwa bahati nzuri au mbaya wakapita maeneo ya NMB hapa Morogoro, wakapaki gari kwa haraka kwa kuwa Adam Lumbe alimuona kijana ambae alimtapeli katika mauziano ya pikipiki,
likatokea zogo!! Polisi waliokuwa Lindo pale Bank wakaja kuizuia gari na pia wakawaweka chini ya Ulinzi Ballet Wallet na Adam Lumbe, licha ya maelezo waliyowapa hawakuwaelewa