Chadema Imemvua Nyadhifa Zote za Uongozi Mh. Zitto Kabwe na Wenzie Wawili
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimemvua nyadhifa zote za uongozi
naibu katibu mkuu wa chama hicho Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili
kufuatia vitendo walivyofanya vya kukihujimu chama hicho na kupewa siku
kumi na nne za kujieleza kimaandishi kwanini wasichukuliwe hatua za
kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uwanachama.
Kidd Kidd A3C Takeover
G-Unit's Kidd Kidd took over Atlanta for A3C with ScHoolBoy Q, Che Mack, Trae The Truth!
Kidd Kidd also made a speech at a music Conference and visited WSTU Clark Atlanta University Radio to discuss being from downtown New Orleans, his genre of music, new single "Bury Me a G" off his "Street Fame" EP which is on the way!
Vita vya Kagera (Kagera War) - Part 1 #Video
Vita vya Kagera dhidi ya Nduli Idi Amini. The Kagera war fought by Tanzania against Uganda under Idi Amin.
Mahakama ya Rufaa Imetupilia Mbali Ombi la Kupitia Upya Hukumu ya Babu Seya na Mwanaye
Mahakama ya rufaa imetupilia mbali ombi la kupitia upya hukumu ya mwanamuziki maarufu nchini mwenye asili ya jamhuri ya kidemokarasia ya Congo DRC Nguza Viking maarufu kama Babu seya na mwanawe Johnson Nguza Papii Kocha na kusema imeona hakuna sababu za msingi za kupitia hukumu hiyo upya.
Subscribe to:
Posts (Atom)