Pages

AINA ZA SIMU ZINAZOTUMIWA NA VIONGOZI MAARUFU DUNIANI

Obama  
We have been learning about new phones being launched including iPhone 5S, iPhone 5c, Galaxy Note 3, Moto X and Xperia Z1 . Today we will get you major world figures and their favourite gadgets.US President Barack Obama US President Obama has been BlackBerry’s most high profile fan.

North Korea’s Kim Jong-Un
North Korea’s Kim Jong-Un has been spotted with HTC Butterfly.
Kim Jong-Un
Chinese First Lady Peng Li Yuan
Chinese President Xi Jinping’s wife Peng Li Yuan was caught on camera recently using Apple’s iPhone5.
Peng Li Yuan
Thai Prime Minister Yingluck Shinawatra
Thailand’s first female prime minister Yingluck Shinawatra uses a total of five smartphones one of which is a white Nokia Lumia 920.
Yingluck Shinawatra
Russian President Vladimir Putin
Since 2012, Putin has been using Russian smartphone MTS-Glonass 945, an Android device.
Vladimir Putin
Britain’s Royal Family
British Royal Family is apparently in love with Apple. Prince William was seen using the iPhone at the Summer Olympics last year, as was Prince Harry.
Prince William
UK Prime Minister David Cameron
BlackBerry is clearly a major deal for global leaders, UK Prime Minister David Cameron is also found to be a fan of BlackBerry.
David Cameron
German Chancellor Angela Merkel
German Chancellor Angela Merkel is also a BlackBerry fan, in this case its BlackBerry Z10.

Clearly BlackBerry is a winner here with Samsung securing no position here and Apple on the runners up stand. I guess BlackBerry sale out would disappoint these dignitaries.
Well these are few gadgets used by world’s most powerful personalities.

Dozens Dead in Philippines Floods -Typhoon Pabuk

The southwest monsoon, intensified by Typhoon Pabuk, brought torrential rains in Manila and nearby provinces of Luzon Island, killing at least 30 people. Heavy rains triggered landslides and flash floods affecting more than 36,000 people over the past two days, officials said. Al Jazeera's Jamela Alindoghan reports from Zambales Province.

NIKKI WA 2 na JOH MAKINI - TANZANIA (KIONJO)

NIKKI WA 2 , JOH MAKINI

SIMCO FT LULE -MWISHO (VIDEO)

I Wish - Cher Lloyd Ft. T.I (Audio)

SOGGY DOGGY AITOLEA UVIVU COSOTA na BASATA SIKILIZA HAPA CHUMBA CHA SINDANO..!

SOGGY DOGGY , COSOTA , BASATA , CHUMBA CHA SINDANO , KALI ZA BOMBA Rapper Soggy Doggy a.k.a Chief Rumanyika, licha ya kushirikiana na wasanii wenzake D Knob, Sugu na Bwana Misosi kupigania suala la wasanii kupata hati miliki ya kazi zao, Serikali imekuwa ikisuasua kutafuta ufumbuzi wizi wa kazi za wasanii na kwamba itachukua mud asana wasanii kuja kunufaika na kazi zao.

STORY PILI - SHADAMO.
Upcoming Artist kutoka Green City namzungumzia Shadamo, ambaye pia anafanya vizuri kupitia Track ya MILELE MIMI NA WEWE amewatwatukia wasanii wenzake Undergrounds kujiamini na kujipenda katika kazi zao, licha ya kuwa katika kufikia mafanikio kuna misukosuko ya vikwazo na kutatishana tama, lakini wakitia nia gemu la muziki wa kizazi kipya lina wigo mpana wa mafanikio.

SIKILIZA MAHOJIANO NA SOGGY DOGGY NA SHADAMO KATIKA CHUMBA CHA SINDANO ya KALI ZA BOMBA - BOMBA FM 104.0MHz
Sometimes in April -Movie anayozungumzia Soggy..

Watu Wawili Wamekamatwa Wakiwa na Maiti Iliyokutwa na Dawa za Kulevya.

Kufuatia kuongezeka kwa wimbi la madawa ya kulevya nchini jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wawili wakiwa na maiti iliyokutwa na dawa za kulenya aina ya heroine pipi 33 zenye thamani ya mamilioni ya shilingi.

BadSpenderz ft Freddie, FidoVato, Bounako, D Maujanja Moplus -Wataelewa Tu (Audio)

BadSpenderz,Freddie ,FidoVato Bounako, D Maujanja, Moplus,Wataelewa tu

Henna mistaken for Terror suspect Samantha Lethwaite

Her name is Henna. She is the woman whose picture has been circulated on social media and wrongly identified as Samantha Lethwaite the terror suspect from the United Kingdom who is thought to have been involved in the Westgate attack. Henna spoke to Jamila Mohamed about a gesture of kindness in rescuing a woman during the attack, that backfired.

HUYU NDIO YULE KIGOGO WA TRA ALIEMWAGIWA TINDIKALI NA KUA KIPOFU..! ALIA NA SERIKALI

TRA
*Sasa ni kipofu, adai serikali imemtelekeza Na Richard Konga, Arusha
TINDIKALI inaweza kuwa silaha hatari sana na haifai hata kidogo katika jamii, wanaokutwa nayo ingefaa wafungwe kifungo cha maisha kwani wanapoitumia vibaya huleta madhara yasiyoelezeka.
TRA 
Elisha Kombe kabla na baada ya kumwagiwa tindikali.
Kuthibitisha hayo tunawaletea maelezo ya Elisha Kombe aliyekuwa Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Kitengo cha Upelelezi mkoani Mwanza, aliyemwagiwa tindikali akiwa katika majukumu ya kikazi mkoani humo.
Miaka 15 iliyopita alikuwa mchapakazi na tena mtanashati na nadhifu mwenye viungo kamili na alikuwa akifanya kazi yake kwa umakini mkubwa lakini leo, anaililia serikali kwa kile alichodai kumtelekeza baada ya kumwachisha kazi kutokana na tukio hilo lililomfanya awe kipofu.
Kombe alikutana na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Arusha ambapo anaishi na kaka yake, George Kombe baada ya kunusurika kifo kutokana na kumwagiwa tindikali wakati alipokuwa Mwanza kwa shughuli maalumu za kikazi.
Akisimulia mkasa huo wa kumwagiwa tindikali, Kombe alisema: “Nilipata uhamisho kutoka Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania Dar es Saalam (TRA) Septemba, 1997 kwenda mkoani Mwanza kwa ajili ya kazi maalumu ya ukaguzi na kudhibiti mianya ya ukwepaji wa mapato na magendo kwa baadhi ya wafanya biashara wasio waaminifu.
“Nikiwa Mwanza nilishuhudia mianya hiyo ya ukwepaji wa mapato kwa baadhi ya wafanya biashara waliokuwa wakitumia usafiri wa majini na baadhi ya meli na boti zilikuwa zikisafirisha bidhaa kwa njia isiyo halali sambamba na magari yaliyokuwa yakitumika nchi kavu.
“Pamoja na upinzani niliokuwa naupata vikiwemo vishawishi mbalimbali ili niweze kupunguza kasi ya utendaji niliokuwanao lakini nilikuwa na msimamo wa kutekeleza majukumu yangu ya kikazi kwa haki kama nilivyoagizwa na viongozi wangu,” alisema Kombe.
TRAAliongeza kuwa hali hiyo iliashiria kujengeka kwa hali ya chuki kwa baadhi ya mitandao ya wafanya biashara mkoani humo waliokuwa wakijishughulisha na biashara mbalimbali zikiwemo za mafuta, sabuni, bati na nyinginezo huku wakibainika kukwepa kulipa mapato ya serikali.
Aliendelea kusema kuwa katika mamlaka hiyo aliitumikia zaidi ya miaka 11 akiwa ameitumikia serikali kwa uaminifu hadi Februari, 1998 alipomwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akigonga katika geti la nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Kirumba jijini Mwanza.
ANAIKUMBUKA SIKU HIYO YA BALAA
“Ilikuwa ni majira ya saa nne ya usiku nikiwa katika hali ya matembezi ya kawaida ambapo katika matembezi hayo walijitokeza baadhi ya wafanyabiashara ambao walinisalimia ndipo baada ya kuachana nao nilielekea nyumbani kwangu, nilipofika kwenye geti nilianza kugonga ili mlinzi aje afungue ghafla niliitwa jina langu na mtu niliyehisi alikuwa nyuma yangu, nilipogeuka, ghafla nilimwagiwa tindikali kichwani,” alisema Kombe.
Akaongeza kuwa tukio hilo lililoashiria kupangwa lilimletea maumivu makali ya kichwa ambapo alipelekwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza na baadaye akahamishiwa KCMC. Baada ya kushindikana katika hospitali hizo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Leeds iliyopo nchini Uingereza kwa ajili ya matibabu zaidi ambapo baada ya miezi minane alipata nafuu na kurudi nchini.
Kombe ameshangazwa na hatua ya serikali kumlipa shilingi milioni 12 kama mafao yake huku ikiwa imemtelekeza kwa kumwachisha kazi wakati ana familia ya watoto wanne wanaomtegemea na kwamba fedha hizo hazimtoshi kutokana na majeraha aliyoyapata katika eneo la kichwa na maeneo mengine ya mwili wake.
“Naiomba serikali inipatie kazi kwani ulemavu wangu hauwezi kunizuia kufanya kazi katika idara yoyote au katika mamlaka hiyo hata kama ni kitengo cha huduma kwa wateja, mawasiliano na nyinginezo ili niweze kujipatia kipato cha kuniwezesha kuishi na familia yangu na kunisaidia katika matibabu.”
Yeyote aliyeguswa na habari hii anaweza kumsaidia mpiganaji huyu wa uchumi wa nchi hii kwa simu namba 0787 926549 Kutoa ni moyo.
Gpl