Pages

Tazama Video ya Shekhe Ponda Akiwa Muhimbili Baada ya Kupigwa Risasi

 
TAARIFA KUTOKA MSIKITI WA MTAMBANI LEO KUELEZEA HALI YA SHEIKH PONDA
Amir Kundecha Bismillahir Rahmanir Rahiim TAARIFA Taarifa rasmi kuhusu hali ya Sheikh Issa Ponda itatolewa leo (Jumapili) Al'asiri msikiti wa mtambani, jijini Dar-es-salaam. Pamoja na taarifa hiyo, Amiri wa Baraza Kuu, Sheikh Mussa Kundecha atazungumza na vyombo vya habari Insha-Allah muda na mahali hapo hapo.
Wabillah Taufiiq
11 Agosti, 2013

Meet The Stateless Community..!

The Shifta War of 1963 to 1967 was a secessionist conflict in which ethnic Somalis in the now North Eastern Kenya attempted to join the region with the rest of Somalia. The Kenyan government reacted angrily, with its security officers allegedly forcing civilians into concentration camps. But did you know that today there are people in the heart of Isiolo County who many years after the Shifta war are confused about whether they are Kenyans or Somalis? Michael Njenga visited Komboni Village and here now is his report, the Stateless Community.

Swahili Debate Ughaibuni, Tazama Jinsi Lugha ya Kiswahili Ilivyokua Ulimwenguni

DANNY MSIMAMO ft RAMMA DEE, SUMA G -MWEZINI (Audio)

Baba na Mwanae Wamekutwa Wakiwa Hai Baada ya Kuishi Msituni Takribani Miaka 40.

Wamepatikana wakiwa wazima kabisa ..
Ho Van Lang
Ho Van Lang 42 akitolewa msituni baada ya kuishi miaka 40 huko
Vietnam
nyumba yenye urefu wa mita 5
Baba huyo ambae sasa ana miaka 82 alikimbia Vietnam na mwanae ambae alikua na miaka 2 tu na kutokomea kusiko julikana baada ya bomu kusambaratisha familia yao....
Vietnam
nguo walizokua wakivaa
Baba huyo na mwanae waliishi kwenye kijumba cha miti chenye urefu wa mitaa 5 na wote walikua wakivaa magamba ya miti kama njia ya kujistiri
Vietnam
Ho Van Lang akijaribu kuongea na watu
Mtoto wake huyo mwenye miaka 42 sasa anajua maneno machache ya lugha ya kiveitnam na pia anahitaji kusaidiwa na mashine hili aweze kutembea wima...

Ho Van Thanh(82) akibebwa kutolewa msituni
Kabla ya kukimbilia msituni huko, Ho Van Thanh alikua akiishi katika kijiji kidogo cha Tra Kem ndani ya Quang Ngai katikati ya Vietnam

Lord Izzy -Roho Zinawauma (Audio) Teaser

Lord Izzy -Roho Zinawauma

Best of The Best. The Game - It's Okay (One Blood) ft. Junior Reid

Music video by The Game performing It's Okay (One Blood). (C) 2006 Geffen Records

Eminem- Lose Yourself HQ

Kanye West - Through The Wire

Yo G they can't stop me from rapping can they? Can they huh? I spit it through the wire man Too much stuff on my heart right now man I'll probably risk it all right now It's a life or death situation man Y'all don't really understand how I feel right now man It's your boy Kanye to the, Chi-Town what's going on man

World's Ugliest Woman Is Actually Beautiful..!

Lizzie Velasquez, the woman a lot of cyber bullies have tagged as 'the world's ugliest woman' actually happen to be a very beautiful, strong woman. Inner beauty is what counts, because being beautiful on the outside when no one can stand to be around you because of a horrendous personality, that's what ugliness truly looks like. Physical beauty always fades away, but it's our inner strength and beauty which truly transcends and always stays by your side. Bullies reflect what they have in their heart, so if you feel like hating others for ANY reason, look at yourself first. It may you you who has the problem. As for everyone else, just remember that those insults are not personal, 'cause this people don't even know us. Take it to make you stronger and to inspire others. On the other hand, if you see someone being bullied, don't step back and creep away. Stand up and be the change you want in the world.

Avicii - Wake Me Up (Official Video)

Baada ya WaKenya Kuongoza kwa Uzamiaji UINGEREZA, Sasa Kimeumana..!

British Government
Uingereza imongeza masharti makali kwa waKenya wanaotaka kwenda kutembea nchini Uingereza. Sheria hizi mpya zitaanza kufanya kazi kwanzia November.

Kwanzia November waKenya watakao pata visa ya kwenda kuitembelea uingereza wataitajika waweke rehani kiasi cha pound £3,000 (KSh400,000) ambayo watarudishiwa endapo watarudi nchini kwao pale visa zao zitakapokuwa zime exipire.
The plan, part of a wider scheme by the British Government to rein in illegal immigration, is set for piloting in November.
Ukiachana na waKenya nchi nyingine ambazo zipo kwenye black book ni Nigeria, India, Pakistan, Sri Lanka and Bangladesh, according to the Financial Times of London.