Pages

Hii Hapa Namna ya Kuingia Facebook Bila Internet

Facebook Bila Internet

TEKNOLOJIA ya NDEGE ZISIZOKUWA na RUBANI TZ MKAO wa KULA


NDEGE ,RUBANIHizi ni baadhi ya Picha Za Ndege zisizokuwa na Rubani ambazo Jeshi la Marekani linazitumia katika Operesheni zake katika Vita Tofauti tofauti. Ndege hizi ndio ndege ambazo zitatolewa kuwaisaidia Wanajeshi wa Tanzania Nchini Kongo Kupambana na Waasi. Hii ni teknolojia mpya kwa nchi za Dunia ya Tatu wakati Nchi za Dunia ya Kwanza ni teknolijia iliyopo sasa.
NDEGE ,RUBANI
NDEGE ,RUBANI
 An X-47B drone combat aircraft lands on the deck of the USS George H.W. Bush aircraft carrier. Photo: AP

Kipanya Leo

Kipanya

Darasa Ft. Ditto - Weka Ngoma (Audio)

Darasa Ft. Ditto - Weka Ngoma

Kadgo Ft. Young Killer -Zingatia (Video)


Shule za Msingi Zafungwa Kenya.

Wanafunzi shuleni Kenya Serikali nchini Kenya imetangaza kufungwa kwa shule zote za msingi za umma kufuatia mgomo wa walimu ulioingia wiki ya nne sasa.

Waziri wa elimu Prof. Jacob Kaimenyi amesema kuwa shule hizo zitabakia kufungwa kwa muda usiojulikana.
Ameshutumu walimu akisema kuwa mgomo wao ulikuwa kinyume cha sheria.

Zaidi ya walimu 240,000 wamesusia kutoa mafunzo kwa wanafunzi wakidai nyongeza ya 500% ya mishahara waliyoahidiwa na serikali mwaka wa 2007.
Pia wanataka kuongezewa marupurupu ya usafiri, ya nyumba na matibabu. Serikali imesema kuwa wazazi wataarifiwa juu ya siku ya kufunguliwa tena shule.
Waziri huyo wa elimu Pro. Kaimenyo amesema kuwa wizara yake itafanya mipango maalum kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la 8 wanaotarajiwa kufanya mtihani wao wa kitaifa chini ya miezi minne ijayo.

Mhariri Mtendaji wa “Jamhuri” Atiwa Mbaroni, Ahojiwa, Kushitakiwa

Safari ya kupambana na ufisadi katika nchi hii ni ngumu sana.
Leo kuanzia saa 5 hadi saa 8:30 mchana, Mhariri Mtendaji wa Jamhuri, Deo Balile, amehojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu habari iliyochapishwa kwenye Jamhuri inayohusu “Ufisadi ujio wa marais 11”

Kwa bahati nzuri, habari nzima wanaikubali kwamba ni ya kweli! Kasoro pekee eti ni matumizi ya barua ya Ikulu iliyokuwa na neno “Secret” ambayo ilikuwa na majina tu.

Anashitakiwa kwa kosa la "Kuchapisha Nyaraka za Siri", jambo ambalo ni kinyume cha Sheria ya Usalama, kifungu 5(1). Nimemwekea dhamana hadi Ijumaa saa 4 asubuhi.

Angalizo:
Huu ni mwendelezo wa Serikali kukwepa kuwashughulikia wezi na wafujaji wa fedha za umma zaidi ya Sh bilioni 8 kwenye Mkutano wa Smart Partnership, badala yake wameamua kuhangaika na neno moja tu “Secret”. Hivi kweli neno “secret” ni kero na hatari zaidi kuliko hoja yenyewe ya kile kilichoandikwa?
Nawasilisha.
Manyerere Jackton

The Running Man - Arsenal Asia Tour 2013 - Vietnam

When Arsenal FC had their Asia Tour 2013 in Vietnam, there was a beautiful moment captured in the capital city of Vietnam, Hanoi. After their trip to one of the most famous pagoda in Vietnam "Chùa Một Cột", this young Vietnamese guy was running for about 5 miles, chasing the Arsenal bus in Hanoi, he got hit by a tree, the team decided to stop the bus to let him in, signed his Arsenal red and white jersey and took pictures with him as they were chanting to Arsene Wenger "SIGN HIM UP!"
Dreams do come true.

Kocha wa Yanga Kuendelea Kutathmini Viwango vya Wachezaji Wapya.

Kocha mkuu wa Yanga Mholanzi Ernie Brandts atapata wakati mzuri wa kuendelea kutathmini viwango vya wachezaji wapya wakati kikosi chake kitakapoikabili timu ya three pillars ya Nigeria katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa keshokutwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

After Eating Poisoned Free School Meal, 21 Children Die in India..!

Bihar
Grief ... a dad holds his daughter's lifeless body after she died on way to hospital

Cops are investigating how a lethal dose of insecticide got into the food at a school in the impoverished eastern state of Bihar. One official said the ingredients may not have been properly washed before the meal was cooked.

The children, between the ages of 8 and 11, fell ill on Tuesday soon after having lunch in Gandamal, 50 miles north of the state capital of Patna.
School authorities immediately stopped serving the meal of rice, lentils, soya beans and potatoes when the children began vomiting.

The lunch, part of a popular national campaign to give at least one daily hot meal to children from poor families, was cooked in the school kitchen.
The school cook was also reported to be seriously ill.
Bihar
Victims ... survivors of the poisoning are treated in hospital in Patna
One girl called Savita, 11, told how she got a stomach ache and was sick soon after eating.
“I don’t know what happened after that,” she said at Patna Medical College Hospital, where she and 25 other children are being treated for poisoning.

Ten children are in a serious condition, officials said.
Authorities suspended an official in charge of the free meal scheme in the school and registered a case of criminal negligence against the school headmaster, who fled as soon as the children fell ill.

Angry villagers took the streets in protest, pelting a local police station with stones and setting cars and buses ablaze.

India’s Mid-Day Meal scheme is the world’s largest school feeding programme involving 120 million children across the country.

Dash ... a family takes a sick boy to hospital after a free school meal made him ill
The sun.