Pages

Msanii Wa Nako 2 Nako Ameacha Kutumia Madawa Ya Kulevya Na Amejiunga Na Taasisi Kwa Matibabu; Exclusive Interview

Herion na Crack Cocaine
Rapper Ibra Da Hustler amefunguka kuwa sasa anampango wa kubadilisha maisha yake na jambo alilo anza nalo ni kuachana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya Herion na Crack Cocaine. Da Hustler ameniambia kwenye exclusive interview niliyo mfanyia kuwa.

1] Nimeacha Kabisa madawa na nina siku nne sijagusa toka nimejiunga na hii taasisi, nimejifunza kuvumilia arosto na matumaini yangu ni kuacha kabisa madawa kwani yameharibu maisha yangu kabisa. Ni Uharibifu wa pesa nyingi na umekaribisha dharau kwenye maisha yangu

2] Nikifanikiwa kuwa sober kabisa mpango wangu ni kurudi vizuri kwenye mziki kwani ndio uwezo wa kazi nilionao na najua mashabiki bado wana hamu na kazi zangu.

3] Nako 2 Nako na Weusi wananipa ushirikiano mzuri sana, wote wamefurahi kusikia nimeacha madawa na Lord ndio aliye nipigia simu kuniambia nimefanya jambo msingi.

4] Yes ni kweli kuna binti alini shawishi kutumia madawa na ndio najutankumfahamu na kwanini nilikubali. Nimegundua hataki maendeleo yangu kabisa nanimejifunza kutoka kwake, sasa nikimuambia mtu usiguse madawa ataamini kwani najua kitu gani atapata kwenye maisha yake.

5] Wimbo Wa Sababu Ni Wewe Nimeimba mambo yote yaliyo nitokea toka nimeanza kutumia madawa na jinsi yalivyo mess up my life, Matumaini yangu vijana watajifunza kutokwa kwangu kuhusu madhara ya hii kitu.
Sammisago

Magna Carta Holy Grai with JAY Z n Samsung (Video)

JAY Z's new album "Magna Carta Holy Grail" comes to Samsung Galaxy fans first. Be among the first million to download the app on June 24th and get the album free July 4th, three days before the rest of the world.
Download the app : .Samsung/Magnacarta

TBS Imepiga Marufuku Uingizaji wa Nguo za Ndani za Mitumba

Shirika la viwango nchini --TBS limepiga marufuku uingizaji na uuzwaji wa bidhaa za nguo za ndani za mitumba na kusema litachukua hatua kali kwa wauzaji na waingizaji wa bidhaa hizo huku likiwataka wananchi kuendelea kutumia bidhaa zenye ubora.

Manzese Midizini: Zaidi ya Wafanya Biashara 100 Waondolewa (Video)

Zaidi ya wafanyabiashara 1000 wa Manzese Midizini jijini Dar es Salaam wameondolewa katika maeneo yao ya biashara na jeshi la polisi pamoja na mgambo kupisha ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi hukuwafanyabiashara hao wakilalamikia kitendo hicho cha kushtukiziwa.

JUMUIYA YA WAISLAMU DMV - TAMCO FAMILY DAY

TAMCO FAMILY DAY

Mwanaume Afumaniwa Akimchafua Ng'ombe Mwenye Mimba Kenya

D’Banj's Consert Lagos Nigeria

Consert ya D’Banj
Consert ya D’Banj aliyoifanya June 23 2013 imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kupata watu wengi na pia show zote kutoa burudani iliyotarajiwa ambapo pia rapper 2Chainz kutoka Marekani, na Fally Ipupa kutoka Congo DRC ni miongoni mwa waliopafom.
Show ilifunguliwa na On-Air Personality Tolu Oniru na real housewives star Kenya Moore ambapo waliohudhuria ni pamoja na mke wa mwimbaji Mnigeria 2Face Idibia (Annie).
2Face Idibia
Annie Idibia akiwa na Nollywood star Susan Peters na staa Juliet Ibrahim wa Ghana.
2Face Idibia
.Consert
D’Banj na Kenya Moore

Walk Across Grand Canyon, Nik Wallenda's Death-Defying

PEP GUARDIOLA, UTAMBULISHO RASMI KUWA KOCHA WA BAYERN MUNICH

PEP GUARDIOLA
PEP GUARDIOLA BAYERN MUNICH
BAYERN MUNICH

JAY KAH ft SULTAN WA PWAN - KISRANI (Audio)

 JAY KAH ft SULTAN WA PWAN - KISRANI