Sugu aka Mr.II Amtusi Mwana FA -The finest, Soma Alichoandika..!
Baada ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika ....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a MR II a.k.a SUGU..Ameshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
"..The finest???!!..The finest My Ass..." angalia hapo chini

Ommy Dimpoz Anaomba Msamaha kwa Kumtukana Ngwear. Soma Alichokiandika!!
Baada ya watanzania kumwandama Ommy Dimpoz kutokana na tusi alomtukana marehemu Ngwea, msanii huyo ameamua kuwapigia magoti watanzania na kuwasihi wamsamehe..... Hali hiyo imekuuja baada ya.. watu mbalimbali kutangaza kumsaka Ommy kwa lengo la kumwadabisha kwa kumpa kichapo kikali...
Miongoni mwa watu hao ni TID ambaye kupitia ukurasa wake wa facebook ametangaza vita dhiti ya Ommy Dimpoz....
Hii ni post ya Ommy ambayo ameitoa akiomba asamehewe kwa kauli zake na matusi aliyoyatoa kwa marehemu Ngwea....

Ivory Coast 4 Tanzania 2
Kwa ushindi huo, Ivory Coast imetimiza pointi 13 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote katika kundi hilo na sasa itasubiri kucheza na mmoja wa washindi wengine wa makundi mengine tisa ili kuwania kwenda Brazil mwakani.
Tanzania inabaki na pointi zake sita, huu ukiwa mchezo wa kwanza kufungwa nyumbani katika kampeni hizi na Morocco bila kuhusisha matokeo yake na Gambia, ina pointi tano.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Mehdi Abid aliyesaidiwa na Hamza Hammou, Bauabdallah Omar wote kutoka Algeria, hadi mapumziko Ivory Coast tayari walikuwa mbele kwa mabao 3-2.
Stars ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao mfungaji Amri Ramadhani Kiemba dakika ya kwanza tu aliyepokea pasi ya Mbwana Ally Samatta kufuatia mpira wa kurushwa na Erasto Edward Nyoni kusababisha kizazaa langoni mwa Tembo wa Abidjan.Kusoma zaidi bofya.....
Kim Kardashian Gives Birth to Baby Girl! Star Has First Child by Kanye West a Month Early at Los Angeles Hospital
Mail Online exclusively revealed that the 32-year-old had been admitted to hospital in Beverly Hills on Friday.
The reality star had taken out a birthing suite at Cedars-Sinai Medical Center - a hospital of choice among many celebrities including Britney Spears, Victoria Beckham and Jessica Simpson.
Hours later - around 1:30 a.m. on Saturday - she gave birth to her baby girl.
Her partner, rapper Kanye West, and mother Kris Jenner were reportedly at her side.
TMZ cited sources that she had a natural birth after having contractions late Friday evening.
Kim had planned to have a C-section but after suffering an infection had decided to take the precaution of going to the hospital a few weeks early, according to X17Online.
Her due date was reportedly July 11 - the same day as Kate Middleton. Both mother and baby are in good health and resting, but given the... Read more Vijimambo

MASANJA KATIKA POZI ZA KAZI ZAIDI
Masanja Mkanamizaji katika pozi mbalimbali
Patakuwa hapatoshi hapo Julai 6, katika Miaka 3 ya Vijimambo pamoja na Tamasha la Kiswahili
Bomu Limelipuka Kwenye Mkutano wa CHADEMA Arusha Leo Hii, Watu Kadhaa Wahofiwa Kupoteza Maisha!
MKUTANO HUO UNASADIKIWA KUWA NA WATU ZAIDI YA ELFU MBILI NA PIA BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WANASEMEKANA KUPATA M,AJEREHA NA WAMEKIMBIZA HOSPITALI KWA MATIBU YA HARAKABomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.
BLOG HII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILI HIVYO USIKAE MBALI NA BLOG HII YA HABARI NA BURUDANI ZA UHAKIKA.

Subscribe to:
Posts (Atom)