Pages

Wiz Khalifa - Paperbond (Video)

Familia ya Mandela Yaanza Kurejea Afrika Kusini

Mandela Johannesburg. Wasiwasi umezidi kutanda miongoni mwa familia na raia wa Afrika Kusini kuhusu afya ya Rais wa zamani wa nchi hiyo, Nelson Mandela ambaye amekuwa akipatiwa matibabu kwenye Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) kwenye Hospitali ya Mediclinic, Pretoria, Afrika Kusini.
Tayari wanafamilia wake wameanza kurejea Afrika Kusini kutoka maeneo mbalimbali duniani na ndani ya Afrika Kusini na kuelekea Pretoria kufuatilia kwa karibu hali yake. Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Mzee Mandela (94) ambaye ni maarufu kwa jina la Madiba, hajitambui. Amelazwa hospitalini kwa siku ya tano sasa ambako anaendelea kupatiwa matibabu kutokana na ugonjwa wa homa ya mapafu.

Mwanaye wa kwanza, Zenani Mandela-Dlamini ambaye ni Balozi wa Afrika Kusini nchini Argentina amewasili Pretoria kufuatilia hali ya baba yake aliyelazwa hospitali Jumamosi iliyopita.
Mkewe, Graca Machel alilazimika kuahirisha safari yake ya kikazi tangu Jumamosi ili kuwa karibu naye na mke wake wa zamani ambaye walitalikiana, Winnie Mandela pia ni miongoni mwa jamaa waliojumuika kumjulia hali Rais huyo wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini.

Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), lilisema kwamba Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma jana alikutana na madaktari wanaomtibu Mzee Mandela na baadaye kutoa taarifa fupi akisema ameridhishwa na jitihada wanazofanya katika kumpatia matibabu.

Kijijini kwake
Huko kijijini kwake Qunu, wakazi wameendelea kukumbwa na shaka na wamekuwa wakifanya maombi ili afya ya Mandela iimarike. Tayari baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimeshaweka kambi katika eneo hilo la Qunu kwa ajili ya kuchukua matukio mbalimbali yanayoendelea katika kipindi hiki cha shaka na wasiwasi kuhusu kiongozi huyo.
Jana, Msemaji wa Ikulu ya Afrika Kusini, Mac Maharanji alisema hali yake haijabadilika.
Mwananchi

Watch Crazy But Amazing Driving Skills

Do NOT Try This at Home

Javier Mascherano Sent off After Kicking Medic in World Cup Qualifier Against Ecuador

Barcelona hard man Javier Mascherano is known for his no-nonsense attitude on the football pitch, causing him trouble on a number of occasions. And on Tuesday night, during Argentina's World Cup qualifier in Ecuador's capital Quito, the red mist flared up again

Seniors

Seniors

AMRI KIEMBA AMESAINI SIMBA MKATABA WA MIAKA 2 KWA DAU LA SH. M 50

Amri Kiemba
Kaka wa mchezaji wa Simba, Amri Kiemba (wa pili kushoto) akisaini kwa niaba ya mdogo wake kuchukua fedha za usajili kwa mkataba wa miaka miwili jumla ya Sh. Milioni 50, baada ya kiungo huyo kukubali kumwaga wino Mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Klabu hiyo ya Simba SC wakati wa zoezi hilo lililofanyika leo mchana. Wa pili (kulia) ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' na Damian Manembe (kulia) na Salum Pamba, Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry
Amri KiembaAmri Kiemba Pichani, ambaye alikuwa gumzo kila kukicha hukua akielezewa kuwa tayari alikuwa ameshamwaga wino kwa mahasimu wa Simba Yanga na kupewa mkataba wa miaka miwili na kitita cha Sh. milioni 38, huku akiahidiwa kulipwa mshahara wa Sh. 90,000 kwa mwezi ambao ulikuwa umezidi ule anaopokea kwa wekundu hao.
Kwa zoezi hilo la kumsainisha Kiungo huyo sasa Klabu ya Simba imekata mzizi wa fitina na kuzima maneno yote yaliyokuwa yameenea mtaani kuwa Kiemba alikuwa katika harakati za kusajiliwa na Yanga.
Lakini pia Inawezekana Wekundu hao wameshtukia dili baada ya kusikia mchezaji huyo amekuwa 'LULU' huko nchini Morocco na kuonekana kuvivutia baadhi ya Vilabu vilivyoonyesha nia ya kumhitaji kiungo huo, hivyo inawezekana Simba wamecheza Karata ya Dume ili kuwahi kitita cha kumuuza Kiungo huyo iwapo waarabu hao watafika bei. ''Kila la kheri Kiemba na huu ndiyo msimu wa mavuno''.....

Kimbembe

Kimbembe

Vodacom Yawekeza Trilioni 1.3 Nchini Tanzania

Kiasi cha shilingi bilioni 190 zimekusanywa kama makato ya kodi toka kwa wateja na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania mwaka jana na kulipwa serikalini huku pia vodacom yenyewe ambayo tayari imewekeza shilingi trilioni 1.3 hapa nchini ikilipa kodi ya shilingi bilioni 36.5 kwa kipindi hicho

In The Congo - Rhyme Like A Girl Ft Nasambu (Video)

"In The Congo", is the first major musical collaborative effort of its kind to raise awareness on what some are calling the third World War. Calling for a new wave of Green Technology and Fair Trade Electronics. This music video highlights the main cause of rape and genocide in the Eastern Congo region as a desperate scramble for the minerals that power every cell phone and laptop. Produced and directed by Tanzanian Hip Hop guru, Zavara Mponjika, the video features US Hip Hop Ambassador Toni Blackman's collective, Rhyme Like a Girl, alongside California based Kenyan Afro-Soul artist and founder of Activate Afrika, Nasambu. In times when the mainstream media rarely highlights issues of consequence, leaving many people in a state of ignorance, these artists have joined together across time, space, and geographical borders to express their views on this global war and human rights catastrophe that is urgently.

LWAKATARE WA CHADEMA AMEPATA DHAMANA

LWAKATARE WA CHADEMA
Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akiingia katika chumba cha ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kupata dhamana katika kesi yake inayomkabili ya kula njama ya kutaka kumzuru kwa sumu Mhariri wa gazeti la wananchi.Wilfred Lwakatare
Wilfred Lwakatare akiwa na furaha pamoja na wakili wake baada kupata dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni mshtakiwa wa pili katika kesi inayomkali akiwa amerudi rumande baada ya kushindwa kukamilisha masharti ya dhamana.
Wilfred Lwakatare
Wakili wa Wilfred Lwakatare, Peter Kibatara akiwa katika picha ya pamoja na mteja wake Wilfred Lwakatare pamoja na wadhamini wake muda mfupi baada ya.....