ALIYEFICHUA SIRI KUHUSU MAREKANI ATOWEKA
Ilibainika wiki iliyopita kuwa idara ya ujasusi nchini Marekani ilikuwa inakusanya Mamilioni ya rekodi za simu na pia imekuwa ikichunguza watumizi wa mitandao. Idara ya ujasusi nchini Marekani imesema kuwa hatua ya Snowden kutoka siri hiyo ni kosa kubwa la kihalifu na anafanyiwa uchunguzi ili kufunguliwa mashtaka. Awali Snowden aliomba kupewa hifadhi katika kisiwa cha Iceland kutokana na ufichuzi wake ambao anaamini utamweka matatani baada ya kutoa siri ya serikali.
Ufichuzi huu umezua mjadala nchini Marekani kuhusu mpango wa serikali kuyataka kuchunguza mitandao suala ambalo wanasema ni kuingilia uhuru wa watu. Rais Barrack Obama ametetea mpango huo wa idara ya ujasusi kama njia mojawapo ya kupambana na ugaidi duniani na kuhakikisha kuwa Marekani inakuwa salama.
MSAMU
Saudi Prince Alwaleed bin Talal Sued Forbes For Under Estimating His Wealth From $30billion To $20Billion.
His property includes the Savoy Hotel, the Plaza in New York, the Four Seasons hotel chain and a stake in the owners of London’s Canary Wharf complex. Forbes calculated the prince’s wealth based on the value of his known investments instead of Kingdom’s share price on the Taduwal, the Saudi stock exchange, it said.
MASHINDANO YA UMISETA TAIFA KUANZA LEO (Video)
Mashindano ya umoja wa michezo wa shule za sekondari Tanzania-Umiseta ngazi ya taifa yanatarajia kuanza kutimua vumbi leo katika viwanja vya shirika la elimu Kibaha kwa kushirikisha kanda 12 za Tanzania bara na Zanzibar.
AZAM YALETA BOTI MPYA KWA AJILI YA USAFIRI ZANZIBAR (Video)
Wananchi wa Zanzibar wamendelea kufaidika na uwekezaji wa sekta za
usafiri wa baharini baada ya kampuni ya Azam kuleta boti nyengine mpya
na ya kisasa ambayo itatoa huduma za usafiri katika bandari za
Dar,Unguja na Pemba.
EU Team of Experts on Nuclear Safety and Security Visits Tanzania
EUROPEAN UNION
7th June 2013
PRESS RELEASEEU team of experts on Nuclear Safety and Security visits Tanzania
On 7 June, representatives of the European Union met with the Ministry of Energy and Minerals to debrief on theresults of a fact finding mission to Tanzania from the European Commission. This mission, dealing with cooperation innuclear safety, security and safeguards of uranium-mining, was initiated after the visit of Minister Muhongo to theEuropean Union in Brussels from 12-13 April 2013. The mission was composed of experts from the Directorate Generalfor Development and Cooperation and the Joint Research Centre of the European Commission responsible for theInstrument for Nuclear Safety Cooperation.
The EU mission highlighted that the licensing process for uranium mining should be made according to the internationalstandards published by the International Atomic Energy Agency. This will be key to guarantee the safe uranium miningoperation. The licensing process relies on the role of the Regulatory Authorities that shall guarantee an independentreview of the safety and security provisions linked to..
Lissu Azichoma Moto Kadi ZilizoRudishwa na Wananchi
Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo Mh. Lissu hakuja nazo akazichoma moto.
Subscribe to:
Posts (Atom)
