Pages

CCM Yaipeleka Rasimu ya Katiba Mpya kwa Wanachama Wake.

 Katiba Mpya
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauy akizungumza na vyombo vya habari mjini Dodoma.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika kikao cha siku moja na maalum kwa ajili ya kupokea rasimu ya katiba mpya. Kamati Kuu imeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini kwa kazi nzuri na kukamilisha kazi kwa wakati.

Kamati Kuu imepokea rasimu hiyo na kuelekeza kuwa:
Kwa kuwa rasimu hii ni ya kwanza ambayo inapelekwa kujadiliwa tena kwa wananchi kupitia mabaraza mbalimbali ya katiba baada ya kuisha kwa hatua ya kutoa maoni.

Kamati Kuu imekiagiza Chama kijipange kuijadili rasimu hiyo ndani ya Chama kama baraza la kitaasisi la katiba na kuwataka wanachama na wapenzi wa CCM wajitokeze kwa wingi na kushiriki kwenye mabaraza haya.
Ushiriki huu wa CCM baada ya kupokea rasimu umekusudia kushirikisha wanachama wetu kwenye ngazi ya tawi, wilaya, mkoa na Taifa.

Lakini pia Jumuiya za CCM zimekusudia kushiriki kama mabaraza ya Katiba na hivyo kuongeza ushiriki wa wanachama na wapenzi wa CCM katika mchakato huu.
CCM kama baraza la katiba la kitaasisi litaipitia rasimu iliyowasilishwa kifungu kwa kifungu na kwa kuzingatia maoni ya CCM yaliyotolewa mwanzoni kabisa mwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba, wanachama wetu watashiriki kutoa maoni yao.
Pamoja na kazi nzuri ya Tume ya Mabadiliko ya katiba, Kamati Kuu inaiomba Tume hiyo kueleza vizuri mchakato mzima kutoka rasimu ya kwanza mpaka rasimu ya mwisho ili kuondoa mkanganyiko kwa wananchi juu ya mchakato mzima hasa baada ya rasimu ya kwanza kutoka.

Kamati Kuu inawasihi Watanzania kushiriki tena kwenye kutoa maoni kupitia mabaraza ya katiba kwa rasimu ya kwanza, bunge maalum la katiba kwa rasimu ya pili na kupitia kura ya maoni kwa rasimu ya tatu, kwa amani,utulivu na kuvumiliana ili mwisho wa siku tupate Katiba nzuri ya nchi yetu kwa masilahi ya Watanzania walio wengi.

"UJIO WA OBAMA NCHINI SI KWAAJILI YA RASILIMALI ZA WATANZANIA" Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Alfonso Lenhard
Akiongea na waandishi wa habari jana, Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa nini Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania? Ni kweli Rais wetu anakuja malengo ya ziara yake yatajikita katika mambo ambayo ni... malengo ya Marekani kwa Afrika, ambayo ni uhusiano wa kiuchumi, kuimarisha demokrasia na kuwekeza katika kujenga kizazi kijacho cha uongozi."

Akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari kuhusu uhusiano wa ujio wa Rais Obama na rasilimali za Tanzania, Balozi Lenhardt alisema: "Ni kweli Obama atakuja Tanzania. Lakini .....

The Team Sehemu ya Kumi na Tatu ( Episode 13 )


Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video)


ALIYEFICHUA SIRI KUHUSU MAREKANI ATOWEKA

Edward SnowdenAliyekuwa mfanyikazi wa shirika la Ujasusi la CIA nchini Marekani Edward Snowden, aliyetoa siri ya serikali yake kuchunguza mitandao na mawasiliano ya simu za watu duniani sasa hajulikani aliko. Snowden, ambaye alifichua siri hiyo akiwa Hong Kong ametoweka baada ya kuondoka ghafla kwenye hoteli alimokuwa anaishi. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 29 alisema kuwa aliamua kutoa siri hiyo akiwa na lengo la kuwakomboa watu duniani kutoka kwa serikali ya Marekani na kuonesha nchi yake kuwa ni sharti iheshimu haki na uhuru wa watu.
Ilibainika wiki iliyopita kuwa idara ya ujasusi nchini Marekani ilikuwa inakusanya Mamilioni ya rekodi za simu na pia imekuwa ikichunguza watumizi wa mitandao. Idara ya ujasusi nchini Marekani imesema kuwa hatua ya Snowden kutoka siri hiyo ni kosa kubwa la kihalifu na anafanyiwa uchunguzi ili kufunguliwa mashtaka. Awali Snowden aliomba kupewa hifadhi katika kisiwa cha Iceland kutokana na ufichuzi wake ambao anaamini utamweka matatani baada ya kutoa siri ya serikali.
Ufichuzi huu umezua mjadala nchini Marekani kuhusu mpango wa serikali kuyataka kuchunguza mitandao suala ambalo wanasema ni kuingilia uhuru wa watu. Rais Barrack Obama ametetea mpango huo wa idara ya ujasusi kama njia mojawapo ya kupambana na ugaidi duniani na kuhakikisha kuwa Marekani inakuwa salama.
MSAMU

Hii Hapa Njia Rahisi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Mitandao ya Kijamii kwa Raia wa Kawaida!!!

 Njia Rahisi ya Kutengeneza Pesa                                            Bofya Link >>     EASY WAY TO MAKE MONEY ONLINE

Saudi Prince Alwaleed bin Talal Sued Forbes For Under Estimating His Wealth From $30billion To $20Billion.

Saudi Prince Alwaleed bin Talal, According to Saudi Prince Alwaleed bin Talal, he is worth $30 billion dollars and not $20 billion as stated by Forbes in its 2013 rich men and women list both on its websites and magazines. Prince Alwaleed bin Talal was so vessed to the point that he sued the fortune 500 company to court…
The Saudi prince sued Forbes magazine for libel because it said he was only worth $20billion in its annual rich list instead of $30billion. Prince Alwaleed bin Talal, one of the world’s richest businessmen, claims the magazine underestimated his wealth by £9.6billion when it placed him at 26th in this year’s list. Being listed as worth $29.6billion would have placed him in the list’s top ten.  ForbesAlwaleed accused Forbes as been ‘flawed and inaccurate, displays bias against Middle East investors and financial institutions’ in an interview with the Sunday Telegraph in March. The prince has now brought libel action against the magazine’s publisher Randall Lane and two journalists in the High Court in London, reports the Guardian. He will claim that the Rich List caused serious harm to his reputation and to his company Kingdom Holdings’ finances. His company Kingdom Holdings controls investments including stakes in Apple, Facebook, Twitter and Rupert Murdoch’s News Corp.
His property includes the Savoy Hotel, the Plaza in New York, the Four Seasons hotel chain and a stake in the owners of London’s Canary Wharf complex. Forbes calculated the prince’s wealth based on the value of his known investments instead of Kingdom’s share price on the Taduwal, the Saudi stock exchange, it said.

MASHINDANO YA UMISETA TAIFA KUANZA LEO (Video)

Mashindano ya umoja wa michezo wa shule za sekondari Tanzania-Umiseta ngazi ya taifa yanatarajia kuanza kutimua vumbi leo katika viwanja vya shirika la elimu Kibaha kwa kushirikisha kanda 12 za Tanzania bara na Zanzibar.

FACT? It's Physically Impossible for Pigs to Look up Into the Sky.

FACT

AZAM YALETA BOTI MPYA KWA AJILI YA USAFIRI ZANZIBAR (Video)

Wananchi wa Zanzibar wamendelea kufaidika na uwekezaji wa sekta za usafiri wa baharini baada ya kampuni ya Azam kuleta boti nyengine mpya na ya kisasa ambayo itatoa huduma za usafiri katika bandari za Dar,Unguja na Pemba.