TAHADHARI YA UGONJWA WA NIMONIA INAYOTOKANA NA CORONA VIRUS

Shirika la Afya Duniani limethibitisha ugonjwa huu kuwepo katika nchi za Mashariki ya Kati yaani Jordan, Qatar, Saudi Arabi na Falme za Kiarabu (UAE). Katika bara la Ulaya, ugonjwa huu umethibitishwa kutokea nchi za Ujerumani, Ufaransa, na Uingereza. Katika bara la Afrika, ugonjwa huu umetokea Tunisia.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa tahadhari ya Ugonjwa huu kwa wananchi wote, katika mikoa yote ya Tanzania na hasa wale wanaosafiri kuelekea maeneo tajwa yenye uthibitisho wa ugonjwa huu.
Ugonjwa huu unaenezwa na kirusi kiitwacho “novel coronavirus (nCoV).”. Dalili kuu za ugonjwa huu ni kushindwa kupumua kwa ghafla, homa kali, kukohoa, na...
MWANA FA NDIO BALOZI WA SAMSUNG TANZANIA

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (wa tatu kushoto) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar (watatu kulia) jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. Wengine pichani ni Mamodel wa Samsung (kulia na kushoto), Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt (wapili kushoto) na Sylvester Manyara ambaye ni Meneja wa Biashara ya reja reja.

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar akizungumza.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (katikati) akitoa neno la shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4. Simu ambayo inaongozwa kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imesha uza simu Milioni 10 duniani kote. Kulia ni Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt.
Mazungumzo ya Kutafuta Suluhu Kati ya Tanzania na Malawi Yanaendelea..(Video)
Serikali imewatoa hofu wakazi wa ludewa wanaoishi katika mwambao wa ziwa
nyasa ikieleza kuwa hakuna tishio la vita kati ya tanzania na malawi
kuhusiana na ugomvi wa mpaka wa nchi hizo mbili kwenye eneo la ziwa
nyasa kwani mazungumzo yakutafuta suluhu ya mpaka huo yanaendelea
vizuri.
P FUNK AMESEMA HATAKI KUSIKIA TENA NYIMBO ALIZOREKODI YEYE ZA MAREHEMU MAGWAIR ZIKIPIGWA CLOUDS FM
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.


Serikali Imelaumiwa kwa Kuwaacha Wawekezaji Wakigeni Kuwa na Umiliki wa Ardhi wa Kimila... (Video)
Serikali imelaumiwa kwa kuwaacha wawekezaji na raia wakigeni kuwa na
umiliki wa ardhi wa kimila kinyume na sheria za nchi pamoja na kutakiwa
kuhakikisha jengo lililoko karibu na jengo lililoporomoka jijini dar
es salaam linabomolewa haraka iwezekanavyo kutokana na kuwa hatari kwa
usalama wa wananchi
Subscribe to:
Posts (Atom)