Pages

WAKURYA KULA KICHURI MAREKANI, MEMORIAL WEEKEND ELLICOTT CITY

Wakurya na familia zao
Wakurya na familia zao wanaoishi Marekani wanatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza Maryland nchini Marekani kuendeleza mila na desturi ya kabila lao.
hii shughuli ni muhimu sana kwa Wakurya waishio Marekani kuifikiria na kupanga safari ya kuja Maryland ili kuifanikisha. Lengo kubwa ni kukutana, kujuana na pia watoto wetu waweze kujua wapi tulikotoka na tutakua na nyama choma, kichuri,kucheza litungu na kuibhaka.

  Address itakayofanyikia ni
5521 Hunting Horn Drive,
Ellicott City, MD 21043
Siku ya Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana (12 noon)
KARIBUNI SANA

SHEKH WA TOMONDO AMWAGIWA TINDIKALI. ZANZIBAR

Shekh Mohammed Omary Said
Shekh Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Shekh huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.
Shekh Mohammed Kidevu
Shekh Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo.

Mchungaji Zayumba - King of Dodoma (Audio)

Mchungaji Zayumba - King of Dodoma

Octopizzo - Stay so Fly (Video)

Stay so Fly is a song based on a Ghetto Kid who always saw planes and Jets pass over the hood and kept wishing that one day,just one day, he will work hard and be able to fly. So he went to bed thinking about it,Dreamt about it,and in this song he is just bringing out his Dream,and also trying to tell all the youths and Ghetto kids out there that if you work HARD towards your Dreams,one-day they'll come true,you just need to be patient and Focused,because If my Dream came true,Yours will too.
IF YOU DREAM YOU COULD FLY WORK TOWARDS IT AND YOU WILL FLY.
Its Namba Nane BaibY!!

Damian & Stephen Marley - The Mission (Video)

VIDEO YA MAPIGANO MAKALI KATI YA WAASI WA M23

Waasi wa M23 wamepambana na wanajeshi wa serikali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC siku moja kabla ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kuwasili katika eneo hilo.

Hapo Jee?

modo

Yuzzo Fire Burn' Rbama - Jah Love (Audio)

Yuzzo Fire Burn' Rbama

Spika Ameahirisha Kikao cha Bunge Kufuatia Vurugu Zilizo Ibuka Mtwara! (Video)

Spika wa bunge ameahirisha kikao cha bunge jioni hii kutoa muda kwa serikali na uongozi wa bunge kutafakari na kutoa taarifa bungeni kuhusu hali halisi kufuatia vurugu zilizotokea Mtwara wakati bajeti ya wizara ya nishati na madini ikijadiliwa bungeni.

KIMENUKA ..TAZAMA MAJESHI YA TANZANIA YAKIWA DRC MAPIGANO YAMEISHAANZA NA M23

Na Deodatus Balile, Dar es Salaam
Tanzania haitarudi nyuma katika kupeleka majeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kama sehemu ya kikosi cha kuingilia kati cha Umoja wa Mataifa, licha ya maonyo mawili ya maandishi kutoka kikundi cha waasi cha March 23rd Movement (M23), maafisa wa Tanzania wasema.
M23
Waasi wa M23 wakiondoka toka milimani tarehe 30 Novemba, 2012, baada ya kuondoka kijiji cha Karuba cha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. [Na Phil Moore/AFP]Mkuu wa kijeshi wa M23 Jenerali Sultani Makenga (katikati) akiwaashiria baadhi ya maafisa wake karibu na mji wa Sake, mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, tarehe 30 Novemba, 2012.
Tanzania haitarudi nyuma katika kupeleka majeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kama sehemu ya kikosi cha kuingilia kati cha Umoja wa Mataifa, licha ya maonyo mawili ya maandishi kutoka kikundi cha waasi cha March 23rd Movement (M23), maafisa wa Tanzania wasema.
Salva Rweyemamu, mkurugenzi wa mawasiliano wa raisi wa Tanzania, aliiambia Sabahi kuwa serikali ilipokea barua mbili kutoka kikundi cha M23, ambacho kinapigana ili kuiangusha serikali ya Kongo.
M23Barua ya kwanza ilielekezwa kwa Mwenyekiti Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu, Raisi wa Uganda Yoweri Museveni, na nyakala kupelekwa kwa wakuu wote wa serikali wa kanda hiyo, akiwemo Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Barua ya pili ilitumwa kwa spika wa Bunge la Taifa Anne Makinda na kutiwa saini na Bertrand Bisimwa, mkuu mpya wa tawi la kisiasa la M23, iliyofika bunge la Tanzania siku ya Jumamosi (tarehe 20 Aprili), vyanzo viliiambia Sabahi.
Katika barua hiyo, M23 iliwataka wabunge wa Dar es Salaam kuishauri serikali dhidi ya kupeleka majeshi huko DRC, na hata kutishia "mauaji" ya majeshi ya Tanzania na wapiganaji wa M23 ikiwa Tanzania itaendelea mbele na upelekaji wa majeshi yake huko.
Kurejesha amani "Lengo la majeshi ya Tanzania sio kuwaua Wakongo bali kurejesha amani," naibu Spika wa Bunge la Taifa la Tanzania Job Ndugai aliiambia Sabahi. "M23 wataona hili kuwa ni..