Pages

HemedY PHD ft Mr Blue - Rest of My Life (Audio)

HemedY, Mr Blue

Sharon Osbourne is Key Jacko Witness

Sharon Osbourne
Lawsuit ... tragic star Michael Jackson and witness Sharon Osbourne
SHARON Osbourne will be a key witness in the $40billion lawsuit brought by Michael Jackson’s family against a concert promoter, it emerged yesterday.
The X Factor star vowed to “do her duty” after being served papers to appear at court in Los Angeles. She says she will support claims AEG Live ignored health concerns about Jacko while organising his comeback shows.  Sharon, 60, said after hearing she had been called as a potential witness: “Somebody asks you to come to court, you are subpoenaed and you do your duty.”
But last month she said: “There were certain people that worked at that company AEG Live that knew that Michael Jackson was not well and didn’t care because...

JohnRodgers -I can Be (Audio)

JohnRodgers -I can Be

Darasa ft. O'sman - Haki Sawa (Audio)

http://api.ning.com/files/zZ8ckFQED9aTY9xnyxcyRCNZBQew-q3ZZ7vHelU4v80bH9vMS*zDtkEsgwhXhgQ5bY3SxYKdxtdpnmq*N-mjquca0wVCfB16/DaRasSAClassicMusic.jpg

Mafuriko! Mafuriko!

Mvua kubwa zilizonyeesha kwa siku tatu mfululizo jijini Tanga zimesababisha nyumba zaidi ya 100 kuzungukwa na maji huku mashimo ya Baadhi ya nyumba hizo yakimwaga vinyesi katika makazi ya watu hatua inayoleta hofu ya mlipuko wa magonjwa.

Pius Edward ft Young Siddzle n Piuc - Hii ni Bongo (Audio)

Pius Edward ft Young Siddzle n Piuc

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAFUTWA NA SASA YATASAHIHISHWA UPYA - SIKILIZA TAMKO LA SERIKALI

LUKUVI.
Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya kidato cha nne yamefutwa na yatasahihishwa upya ( Re -grading ) haraka iwezekanavyo..
Taarifa ya...
tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato cha nne imesomwa bungeni leo na mh.LUKUVI.
LUKUVI amesema sababu zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu wa baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa elimu
Mh. LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS. ...
Hivyo basi, matokeo hayo YAMEFUTWA na MATOKEA YATAFANYIWA RE-GRADING

Rapper Gucci Mane is Free

Rapper Gucci Mane
Rapper Gucci Mane ameachiwa kutoka jela Geogia baada ya kukaa kwa takribani wiki tatu jela.Kama nilivyoripoti siku ya tarehe 13 april kwa kukiuka masharti,tangu siku hiyo aliwekwa ndani.
Mwanasheria wa Gucci Drew Findling, amesema, ukiukaji muda wa majaribio na Gucci ulisababishwa na tukio lilitokea march 25 katika club ya usiku ya Atlanta....wakati Gucci anadaiwa kumpiga na chupa kichwani mmoja wa watu waliokuwepo ndani ya Club hiyo, na kusababisha tafash kubwa
Na Dj Fetty

Kibanda Akiwa Katika Matibabu Ya Jicho Lake Lililotobolewa na Majambazi

Kibanda
Hivi ndivyo ilivyokuwa hospitalini leo wakati daktari wa jicho aliyedhaminiwa na hospitali ya Milpark alipokuwa akinichunguza jicho lililoharibiwa wakati wa shambulio usiku wa kuamkiia Machi 6 mwaka huu. Hapa ni Johannesburg, Afrika Kusini ninakoendelea na matibabu.

Uchafu wa Vimini ktk Filamu za Bongo Sasa Umepigwa STOP!!! Ole Wako Uendelee!

Utamaduni na Michezo chini ya Waziri Fenella Mukangara.
TAARIFA iliyotua hivi karibuni inaeleza kuwa, mavazi yasiyo ya heshima vikiwemo vimini yamepigwa marukuvaliwa na wasanii kwenye filamu wanazorekodi na yoyote atayekiuka atakiona cha mtemakuni.
Chanzo chetu makini kilichoomba hifadhi ya jina lake, kimeeleza kuwa waliotoa agizo hilo ni Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Filamu lengo likiwa ni kuhakikisha maadili ya taifa yanazingatiwa.
Ikaelezwa kuwa hatua hiyo imekuja kufuatia uwepo wa filamu nyingi mtaani ambazo wasanii wanaoshiriki huvaa mavazi yasiyo ya heshima, mazingira yanayoiharibu jamii.
“Kama wanavyosema vijana huko mtaani kwamba kimenuka na kweli kimenuka! Sasa hivi vimini ‘no’ kwenye filamu, bodi ya filamu imeona ilivalie njuga suala hili ili kulinda maadili ya taifa,” kilieleza chanzo hicho.
Katika kujua ukweli wa jambo hili, mwandishi wetu alimtafuta Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba ambaye alikiri kuwepo kwa utaratibu mpya wa Bodi ya Filamu wa kuzipitia filamu zinazoingia mtaani na kwamba zinazokiuka maadili zinafungiwa.
Mwakifwamba alisema ni kweli mavazi ya nusu utupu hayataruhusiwa tena kuonekana kwenye filamu kama ilivyokuwa huko nyuma na wale watakaojifanya vichwa ngumu watashughulikiwa.
“Sasa hivi kuna sheria mpya kabisa, hakuna kuvaa nguo zisizo za maadili na ukikiuka basi filamu yako haioneshwi au kama unaweza urudie na kuondoa vipande vilivyoharibu filamu hiyo,” alisema Mwakifwamba huku kukiwa na maelezo kuwa, hilo pia litasimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Waziri Fenella Mukangara.