Pages

Ni Beyonce and Jay Z in Tanzania

Beyonce and Jay Z

Gadna G Habash Afunguka Juu Ya Wosia Wa Lady Jay Dee

Gadna G Habash
Leo nilipata nafasi ya kuzingumza na Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki maarufu nchin Lady Jay Dee, sote tunafahamu juu ya maneno aliyoyasema Lady Jay Dee kama ni Wosia wake.

Kupitia kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm haya ndio yalikuwa majibu ya maswali niliyomuuliza Gada G;
Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee...?

Gadna G: Ni maneno ambayo yametoka moyoni mwake na ni maneno mbayo anajitetea kama msanii, mimi kama Meneja ukiacha pia kama mke wangu naendelea kumsapot kwa kile ambacho anaona ni sawa, basi mimi nitaendelea kumsaport na kujaribu kuzungumza na Lady Jay Dee, mara nyingi anasema tu kwamba watu wasifikilie ni swala la wimbo kupigwa au kutokupigwa, hayo ni mambo ya kawaida lakini wafikirie tu kwamba huyu mtu anaongea kutokana experience yake aliyokuwa nayo na wale watu.
Baada ya mwaka 2003 kuacha kufanya kazi kwenye management yao ya Smooth Vibe, yalitokea mambo mengi hapa katikati ila hakusema lakini siku za hivi siku za karibuni kuna mengine ambayo yametokea, ndio akaona hapana nisipo sema nitazidi kukandamizwa na matokeo yake nitakufa kisabuni.

Hii ni kama vita mmejipangaje..?
Gadna G: Unapoamua kusema ukweli swala la kujipanga mara mbili huwa halipo, ni kwamba unasema ukweli watu wasikie naukizungumzia uhasama watu watauliza juu ya uhasama lakini ulikuwepo tayari kwahiyo tu watu wanajua kwa sasa kwa kuwa jdee ameamuwa kuongea lakini...

Paka Mwanga Apatikana Mombasa, Tazama Video

Meek Mill Talks Rick Ross Reebok Beef (Video)

Meek Mill sits down with Karen Civil to discuss the Rick Ross Reebok situation, Dreamchasers 3 and Lil Snupe.

Support Jambo Squad

Support Jambo Squad

Bondia Cheka Amenyakua Gari Mpya Baada ya Kumtwanga Mashali

Mashali Bondia Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka alishinda kwa ponti mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Cheka amemtwanga mashali roundi ya 10 baada ya kumshusshia konde la nguvu lililopeleka mashali kupoteza fahamu kwa muda

Kris Kross Rapper Chris Kelly Dead at 34

Kris Kross
Chris Kelly -- one half of the iconic rap group Kris Kross -- died today in Atlanta at the age of 34 ... TMZ has confirmed.
According to FOX 5 in Atlanta, Kelly was found unconscious in his home and was pronounced dead around 5:30PM EST at the south campus of the Atlanta Medical Center.

As part of Kris Kross, Kelly shot to super stardom in the '90s with the group's mega hit, "Jump." They were also famous for wearing their clothing on backwards.
Back in February -- Kelly and his rap partner, Chris "Daddy Mac" Smith, reunited for a long overdue performance.
Kelly even appeared on TMZ Live -- and couldn't have been nicer.
R.I.P.
Story Developing...

Yanga Yatoka Sare na Coastal Union

 Coastal Union
Nizar Khalfan akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Yanga
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Coastal Union ya Tanga, Philip Mugenzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao wakati ikipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Yanga tayari imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha pointi 57 ambazo hakuna timu yoyote inayoweza kuzifikia.Picha na Dande Francis

CCM Wamgeuka RC Arusha

WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA
VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo wabunge, wamemjia juu Mkuu wa Mkoa (RC) wa Arusha, Magessa Mulongo kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA).
Wabunge hao waliliambia gazeti hili mjini Dodoma kuwa kesi ya uchochezi iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Lema kwa shinikizo la mkuu huyo, itaiathiri kwa kiasi kikubwa CCM.
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola alisema kuwa amefuatilia kwa makini chanzo cha kesi ya Lema na hatimaye kukamatwa na polisi mithili ya gaidi, na kubaini kuwa hulka za utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa serikali zinawapa sifa na umaarufu zaidi CHADEMA.
“Mimi sitaki kuingilia kesi, lakini ukiangalia kuanzia ile inayoitwa video ya vurugu za Chuo cha Uhasibu Arusha na jinsi Mkuu wa Mkoa alivyofika eneo la tukio na kuondoka, utabaini udhaifu mkubwa wa kiongozi huyo ambao leo unamfanya Lema aonekane shujaa.

“Leo tunaingia kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani pale Arusha, tunaweza tukashinda, lakini tutafanya kazi ya ziada kwa sababu tu ya udhaifu wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,” alisema Lugola.

Mbunge mwingine ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema alichokifanya Mulongo ni..