Pages

WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND

Diamond
African Dreams imeripoti kua Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema Sepetu,na kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji wa Mwanamke" . kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii kuishi kwa kufuata na kuheshimu maadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na
Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha "kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamama na kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd pia kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuziki
Nasibu Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote
wa kitanzania popote pale walipo.
Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za "Udhalilishaji wa Mwanamke"
Wanawake wote ambao wamempa like au ad katika mitandao kama facebook kujiondoa mara moja na kogemea kununua
jarida au gazeti lolote litakalo mpamba mwanamuziki huyo.

Alietumia Jina la Waziri Kutapeli Amelamatwa Akiwa Kwenye Harambee

Jonathan Wiliam Lukuvi
Kijana ambae amekuwa akiwaliza watumishi mbalimbali wa umma na watu binafsi kwa kutumia jina la waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge kijana Jonathan Wiliam Lukuvi( si jina lake halisi)amekamatwa katika hafla ya kanisa la Overcomers FM akitaka kumtapeli waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kupitia harambee hiyo.

Kijana huyo aliingia katika ukumbi wa St. Dominic leo katika harambee ambayo mgeni rasmi alikuwa ni Lowassa na kupita mbele na kutumia kipaza sauti kuzungumza kuwa anaitwa JOnathan Wiliam Lukuvi na ni mtoto wa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge na kuwa amekuwa akimpigia simu mara kwa mara Lowassa na hata katika mkutano wake wa Jangwani jijini Dar es Salaam alipata kuzungumza na Lowassa na hivyo kuomba kutekelezewa ombi lake la msaada ambao hakuutaja.
Iringa Godfrey Malenga Lukuvi
Kutokana na utambulisho huo baadhi ya watu waliopata kutapeliwa na kijana huyo akiwemo mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa waliweza kuguna hali iliyopelekea askari polisi kufunguka na kumtia mbaroni kijana huyo ambae alikuwa akiweka mtego wa kumtapeli Lowassa na viongozi wengine katika hafla hiyo .
Hata hivyo baada ya polisi kumtia nguvuni kijana huyo baadhi ya watu waliotapeliwa waliweza kumtambua huku familia ya Lukuvi iliyokuwemo katika ukumbi huo ikimkana katu katu kuwa hana hata chembe ya familia na watu hawamtambui .
Kada wa CCM maarufu mkoani Iringa Godfrey Malenga Lukuvi alisema kuwa kijana huyo amekuwa akitumia jina la waziri Lukuvi kuliza watu na kuwa wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu utapeli unaofanywa na kijana huyo na kuwa tayari alipata kukamatwa na polisi ila alitolewa .

Kwa upande wake katibu wa mbunge jimbo la Isimani ambae pia ni familia ya Lukuvi Bw Thom Malenga Lukuvi alisema kuwa amekuwa akipokea malalamiko mbali mbali kutoka kwa watu mbali mbali ambao wamelizwa na kijana huyo na kuwa siku zote alikuwa..

Ommy G ft. Salu B - Mola nisamehe (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZPDAb6hekEBscw9spB2v6-mz2JPkVfENbcAFdg9RtLFLPVS8M2etm5z5vIAGgUIPc5Zkwn4VDqjR2STzC7bjMWk3StpiZRqpuvDxaSMVi64rXHDdW886SI9Fy7g6MrbOtG-p6am6i3mmf/s640/Ommy+G.JPG

Usiku wa Maadhimisho ya Sherehe za Muungano Luton – Uingereza Ulivyofana.

Luton
Luton
Twende kazi sebene limekolea…
Luton
Mduara ulihusika pia.

USIKU WA KUAMKIA LEO, LUTON TANZANIA COMMUNITY (EAST AFRICAN CONNECTION) KWA KUSHIRIKIANA NA TRIPPLE EM FOODS & DJ DOUBLE T. TUMEJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIOUNDA JAMHURI YA MUUGANO WA TANZANIA. SHEREHE HIZO ZA KWANZA HAPA UK ZILIFANYIKA PALEPALE KWENYE KIOTA MAARUFU KWA NYAMA CHOMA, UGALI, KIENYEJI, SUKUMA WIKI, MIHOGO NK,
PAMOJA TUNAWEZA.
ABRAHAM SANGIWA
KATIBU – JUMUIYA YA WATANZANIA – LUTON – UINGEREZA

Bomb Suspect is Conscious and Answering FBI Questions in Writing After 'Shooting Himself Through Mouth on Boat'

Bomb suspect
-Dzhokhar Tsarnaev is responding sporadically in writing to questions from investigators regarding other cell members and other unexploded bombs
-Teenager may have had no intention of being taken alive
-Dzhokhar and his older brother Tamerlan may have had suicide pact to prevent them from being put on trial, police sources tell MailOnline
-Condition downgraded to 'critical but stable' from initial reports that he was 'serious'
-Tsarnaev had lost large amounts of blood by the time he was captured
-Suffered a gunshot to the throat and a wound to his leg
-Massachusetts Governor reveals video shows Tsarnaev planting second bomb at marathon
-Police commissioner says suspects were planning another bomb attack when they were caught
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaSYXKTEqSLqDKh_p9y-BGDchnQkdGI9PnaoTVhbIL1UPBXoJp72wucBq50Jw_9I8VLlK3DS5QD0JYBRnroqNWMyfV5a9yDPRGNJkPt5eK9taI-HdSJRW0KoGisF_glBz18qIxHmi3zXE/s640/x.jpg
Suspects: Tamerlan Tsarnaev, 26, left, was reportedly run over by his accomplice and younger brother Dzhokhar Tsarnaev, 19. Alleged Boston Marathon bomber, Dzhokhar Tsarnaev, is awake and responding to questions in his hospital bed.
The 19-year-old is responding sporadically in writing to questions from investigators regarding other cell members and other unexploded bombs, law enforcement officials said.

Agents are quizzing Tsarnaev about whether he had any accomplices who helped him carry out his attacks.
The news comes as it is revealed Tsarnaev, who is badly wounded in the throat, meekly pulled up his..

Wiz Khalifa $1 Million Lawsuit Up In Smoke!!

Wiz Khalifa
Wiz Khalifa sued for $1 mil bucks over a cancelled concert ... and that would have bought him 100,000 joints ... which would have been AWESOME ... except for the fact that he got thrown out of court.

TMZ broke the story ... Wiz sued It's My Party, Inc. -- a concert promotion company - for cancelling his gig at George Mason University. Wiz claimed he was promised $85k plus a cut of the profits, BUT he sued for $1 million claiming the botched show severely damaged his reputation.
It's My Party fired back ... the deal was never real since Wiz never signed on the dotted line.

A judge agreed -- No contract = no deal. It just was not doobie.
TMZ reports

AMUUA BABA YAKE KWA KUMTUHUMU KUWA NI MSHIRIKINA...!

JESHI la Polisi mkoani Rukwa
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamsaka Richard Jecap (30) mkazi wa kitongoji cha Matai A kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumpiga mpini kichwani akimtuhumu kuwa ni mshirikina.
Tukio hilo lilitokea Aprili 18 saa 4.50 asubuhi wakati baba huyo akiwa amekaa nyumbani kwake akiota jua.
Akizungumza na gazeti hili, mwenyekiti wa kijiji hicho, Emmanuel Mwakibinga alisema kuwa mtuhumiwa alifanya mauaji hayo baada ya watoto wake kufariki ambapo mtoto wa kwanza mwenye umri wa miaka minne alifariki Januari mwaka huu na alikuwa akidai baba yake huyo ndiye aliyemloga.
Alisema kuwa Aprili 16 mtoto wake wa pili mwenye umri wa miaka miwili alifariki na alidai kuwa baba yake ndiye aliyemloga kwani amekuwa akiloga watoto wake hao na siku ya mazishi aliahidi kumfanyia kitu kibaya baba yake huyo licha ya kuwa hakueleza ni kitu gani.
Mwenyekiti huyo alisema siku ya tukio hilo alikuwa akipita karibu na nyumba hiyo akasikia kishindo kikubwa kutoka eneo la nyumba hiyo na kisha kufuatia vilio vya watu na aliposogea alikuta mtuhumiwa huyo amekwishampiga mpini kichwani baba yake huyo na kisha kuanguka na kupoteza fahamu.
Baada ya kuona hivyo, walisaidiana pamoja na wanafamilia wengine kumwahisha hospitali na alitundikiwa maji sambamba na kushonwa katika jeraha kubwa alilolipata kichwani na usoni na kisha kulazwa ili kuendelea kupata matibabu.
Mwakibinga alisema kuwa wakati akiendelea kupatiwa matibabu alifariki dunia kutokana na kuvuja damu nyingi na maumivu makali aliyokuwa nayo katika jeraha alilolipata baada ya kupigwa na mpini wa shoka kichwani.

Kipanya Leo

Kipanya

Mungu sio Ruge wala Kusaga - Lady JayDee


kupitia kurasa yake ya Twitter.

Angalia Jinsi Hackers Walivyoifanya Mbaya Website ya Makamu wa Rais!

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hackers wameendelea kusumbua na sasa ni zamu ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais kilicho andikwa nimatusi kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco.